Nchi ya Tz nzuri sana katika kila idara ukilinganisha na Kenya ila shida yetu watz ni uoga, uvivu wa kufikiri, ubinafsi, unafiki, na kujipendekeza.
Mambo hayo ndio sababu kubwa mpk tunadharaulika na jirani zetu pia tunashindwa kupiga hatua stahiki za kimaendeleo kwa sababu ya ubinafsi, yaani sisi kwa sisi tunapigana vita, usishangae kuwaona wanaccm wakiwaona cdm au cuf kama maharamia na hawana sababu ya kuongoza nchi hii, yaani kwao ni bora hata machafuko yatokee au taifa liteketee kabisa lakini sio kuwapa nchi cdm