Nairobi Vs Dar es Salaam: Towers over 20 floors

umeona link ya mwaka gani hio hehehehehehe😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 2012 leo tuko 2017
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 tuletee link 2017 hatutaki ujanja hapa mm nachotaka uelewe 2017
de137a638547f9ce66901d6e208cc2fb.jpg

Hii niya last week hii forum yenu
 
chuki za kikabila wewe zitakuua dar ya 2017 mm nakwambia unaingiza nairobi mombasa na kisumu zote ndani😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
1590.5 km sq hehehehehehehe nairobi 696 km sq mombasa 300 km sq kisumu 200 km sq add hapo 1196 km sq hahahahahahahah dar 1590.5 km sq 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
hesabu ndogo sana tu hapo
 
Newyork ni 700 sqkm ..Kenya ni nusu ya Tanzania na inachapa tz kilaki2...UK ni 1/4 ya Tz na inanyorosha tz kila ki2..so mimi cko hapa kukuelimisha kila siku na hujalipa karo
 
😀😀😀😀😀😀😀😀😀 nilikupa link ya newyork vs dar hukuiona hahahahahahahhahahah kwa dar utaumia sana ndugu hehehehheheheh😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Mwanza hawana nondo wale...yani nadhani hadi arusha wanawazidi,sema papana na population is bit high...ns mzunguko wa hela ni mkubwa kuliko arusha
Uko sawa mkuu, I have lived in Arusha for more than a decade and frequently visiting Mwanza, Mwanza is bigger and scattered than Arusha, but Arusha has taller buildings than Mwanza.

Vv
 
Newyork ni 700 sqkm ..Kenya ni nusu ya Tanzania na inachapa tz kilaki2...UK ni 1/4 ya Tz na inanyorosha tz kila ki2..so mimi cko hapa kukuelimisha kila siku na hujalipa karo
anzisha mada yoyote unayoenza shindana na tanzania nikuoneshe yoyote unayojua wewe nikufundishe maana ya 2017😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
GDP ya newyork inashinda Africa yote combined alafu unataka kulinganisha Mavi na Newyork
chukiiiiiiiiiiiiiiiiiii hahahahahah ukubwa wa dar baba ukubwa ndio kinachozungumziwa hapa ukubwa dar 1590.5 km sq urban city area hahahahhahahahha😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 uischange mada tulizana acha wenge
 
Nchi ya Tz nzuri sana katika kila idara ukilinganisha na Kenya ila shida yetu watz ni uoga, uvivu wa kufikiri, ubinafsi, unafiki, na kujipendekeza.
Mambo hayo ndio sababu kubwa mpk tunadharaulika na jirani zetu pia tunashindwa kupiga hatua stahiki za kimaendeleo kwa sababu ya ubinafsi, yaani sisi kwa sisi tunapigana vita, usishangae kuwaona wanaccm wakiwaona cdm au cuf kama maharamia na hawana sababu ya kuongoza nchi hii, yaani kwao ni bora hata machafuko yatokee au taifa liteketee kabisa lakini sio kuwapa nchi cdm
 
anzisha mada yoyote unayoenza shindana na tanzania nikuoneshe yoyote unayojua wewe nikufundishe maana ya 2017😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Anzisha malls in Kenya vs Tz
Anzisha flyovers in Kenya vs Tz
Anzisha underpass in Kenya v tz
Anzisha Kenyan ports vs tz ports
Anzisha interchanges in kenya v tz
Anzisha agriculture in Kenya v tz
Industrialization in Kenya v tz
Compare GDP Kenya v tz
Internet users in Kenya v tz
Sgr Kenya v tz
Kila ki2 tunawachapa utajikojolea 2 hapo
 
yani kwa dar utafanya kazi sana nilikwambia mapema dar ukitaka kwenda nayo chukua nairobi add mombasa and kisumu alafu uje tuzungumze hapa 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Anzisha malls in Kenya vs Tz
Anzisha flyovers in Kenya vs Tz
Anzisha underpass in Kenya v tz
Anzisha Kenyan ports vs tz ports
Anzisha interchanges in kenya v tz
Anzisha agriculture in Kenya v tz
Industrialization in Kenya v tz
Compare GDP Kenya v tz
Internet users in Kenya v tz
Sgr Kenya v tz
Kila ki2 tunawachapa utajikojolea 2 hapo
SGR pole sana kwa hilo toa kwenye kichwa chako
agriculture pole sana kwanza shughulikieni njaa iliowakumba alafu uje hapa
industries kwa sasa hvi tanzania haishkiki pole sana
and am sorry to tel u tanzania is controlling 4 ports and soon to get bagamoyo port the biggest port in africa
tanzania has 10 telecommunication companies and u have 2 or 3
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
tuendeleee
 
Nchi ya Tz nzuri sana katika kila idara ukilinganisha na Kenya ila shida yetu watz ni uoga, uvivu wa kufikiri, ubinafsi, unafiki, na kujipendekeza.
Mambo hayo ndio sababu kubwa mpk tunadharaulika na jirani zetu pia tunashindwa kupiga hatua stahiki za kimaendeleo kwa sababu ya ubinafsi, yaani sisi kwa sisi tunapigana vita, usishangae kuwaona wanaccm wakiwaona cdm au cuf kama maharamia na hawana sababu ya kuongoza nchi hii, yaani kwao ni bora hata machafuko yatokee au taifa liteketee kabisa lakini sio kuwapa nchi cdm
hatuko kwenye vyama vya siasa hapa zungumza mambo ya muhimu kama ulinyimwa kura ya udiwani pole sana endelea kusugua bench😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
SGR pole sana kwa hilo toa kwenye kichwa chako
agriculture pole sana kwanza shughulikieni njaa iliowakumba alafu uje hapa
industries kwa sasa hvi tanzania haishkiki pole sana
and am sorry to tel u tanzania is controlling 4 ports and soon to get bagamoyo port the biggest port in africa
tanzania has 10 telecommunication companies and u have 2 or 3
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
SGR yetu iko ready yenu hamjaanza
Agriculture Kenya ni leading tea,coffee,milk,flowers etc nyinyi hakuna ki2 mnalead
So hakuna kenye mnachapa Kenya ni population pekee na land sizs
 
hatuko kwenye vyama vya siasa hapa zungumza mambo ya muhimu kama ulinyimwa kura ya udiwani pole sana endelea kusugua bench😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Acha kutokwa povu, mm nimeanza kuongelea kutoka kwenye sababu kubwa, siwezi kuongelea mjadala ambao hauna majawabu sahihi
 
hatuko kwenye vyama vya siasa hapa zungumza mambo ya muhimu kama ulinyimwa kura ya udiwani pole sana endelea kusugua bench😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Siasa za tz ndio chanzo kikuu cha kudumaa kwa taifa
 
Anzisha malls in Kenya vs Tz
Anzisha flyovers in Kenya vs Tz
Anzisha underpass in Kenya v tz
Anzisha Kenyan ports vs tz ports
Anzisha interchanges in kenya v tz
Anzisha agriculture in Kenya v tz
Industrialization in Kenya v tz
Compare GDP Kenya v tz
Internet users in Kenya v tz
Sgr Kenya v tz
Kila ki2 tunawachapa utajikojolea 2 hapo
hapo labda fly over na hyo shopping mail kubwa ......
 
Back
Top Bottom