COLLOH-MZII RELOADED
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 7,544
- 3,131
umeona link ya mwaka gani hio heheheheheheπππππππππππ 2012 leo tuko 2017
πππππππππππππ tuletee link 2017 hatutaki ujanja hapa mm nachotaka uelewe 2017
chuki za kikabila wewe zitakuua dar ya 2017 mm nakwambia unaingiza nairobi mombasa na kisumu zote ndaniππππππππππππππ
Newyork ni 700 sqkm ..Kenya ni nusu ya Tanzania na inachapa tz kilaki2...UK ni 1/4 ya Tz na inanyorosha tz kila ki2..so mimi cko hapa kukuelimisha kila siku na hujalipa karochuki za kikabila wewe zitakuua dar ya 2017 mm nakwambia unaingiza nairobi mombasa na kisumu zote ndaniππππππππππππππ
1590.5 km sq hehehehehehehe nairobi 696 km sq mombasa 300 km sq kisumu 200 km sq add hapo 1196 km sq hahahahahahahah dar 1590.5 km sq ππππππππππ
hesabu ndogo sana tu hapo
πππππππππ nilikupa link ya newyork vs dar hukuiona hahahahahahahhahahah kwa dar utaumia sana ndugu hehehehhehehehππππππππππNewyork ni 700 sqkm ..Kenya ni nusu ya Tanzania na inachapa tz kilaki2...UK ni 1/4 ya Tz na inanyorosha tz kila ki2..so mimi cko hapa kukuelimisha kila siku na hujalipa karo
Uko sawa mkuu, I have lived in Arusha for more than a decade and frequently visiting Mwanza, Mwanza is bigger and scattered than Arusha, but Arusha has taller buildings than Mwanza.Mwanza hawana nondo wale...yani nadhani hadi arusha wanawazidi,sema papana na population is bit high...ns mzunguko wa hela ni mkubwa kuliko arusha
anzisha mada yoyote unayoenza shindana na tanzania nikuoneshe yoyote unayojua wewe nikufundishe maana ya 2017ππππππππππNewyork ni 700 sqkm ..Kenya ni nusu ya Tanzania na inachapa tz kilaki2...UK ni 1/4 ya Tz na inanyorosha tz kila ki2..so mimi cko hapa kukuelimisha kila siku na hujalipa karo
Ukweli usemweUko sawa mkuu, I have lived in Arusha for more than a decade and frequently visiting Mwanza, Mwanza is bigger and scattered than Arusha, but Arusha has taller buildings than Mwanza.
Vv
chukiiiiiiiiiiiiiiiiiii hahahahahah ukubwa wa dar baba ukubwa ndio kinachozungumziwa hapa ukubwa dar 1590.5 km sq urban city area hahahahhahahahhaπππππππππππππππ uischange mada tulizana acha wengeGDP ya newyork inashinda Africa yote combined alafu unataka kulinganisha Mavi na Newyork
ukweli gani sasa zungumzaπππππππππUkweli usemwe
Anzisha malls in Kenya vs Tzanzisha mada yoyote unayoenza shindana na tanzania nikuoneshe yoyote unayojua wewe nikufundishe maana ya 2017ππππππππππ
SGR pole sana kwa hilo toa kwenye kichwa chakoAnzisha malls in Kenya vs Tz
Anzisha flyovers in Kenya vs Tz
Anzisha underpass in Kenya v tz
Anzisha Kenyan ports vs tz ports
Anzisha interchanges in kenya v tz
Anzisha agriculture in Kenya v tz
Industrialization in Kenya v tz
Compare GDP Kenya v tz
Internet users in Kenya v tz
Sgr Kenya v tz
Kila ki2 tunawachapa utajikojolea 2 hapo
hatuko kwenye vyama vya siasa hapa zungumza mambo ya muhimu kama ulinyimwa kura ya udiwani pole sana endelea kusugua benchππππππππππππππNchi ya Tz nzuri sana katika kila idara ukilinganisha na Kenya ila shida yetu watz ni uoga, uvivu wa kufikiri, ubinafsi, unafiki, na kujipendekeza.
Mambo hayo ndio sababu kubwa mpk tunadharaulika na jirani zetu pia tunashindwa kupiga hatua stahiki za kimaendeleo kwa sababu ya ubinafsi, yaani sisi kwa sisi tunapigana vita, usishangae kuwaona wanaccm wakiwaona cdm au cuf kama maharamia na hawana sababu ya kuongoza nchi hii, yaani kwao ni bora hata machafuko yatokee au taifa liteketee kabisa lakini sio kuwapa nchi cdm
SGR yetu iko ready yenu hamjaanzaSGR pole sana kwa hilo toa kwenye kichwa chako
agriculture pole sana kwanza shughulikieni njaa iliowakumba alafu uje hapa
industries kwa sasa hvi tanzania haishkiki pole sana
and am sorry to tel u tanzania is controlling 4 ports and soon to get bagamoyo port the biggest port in africa
tanzania has 10 telecommunication companies and u have 2 or 3
ππππππππππππ
Acha kutokwa povu, mm nimeanza kuongelea kutoka kwenye sababu kubwa, siwezi kuongelea mjadala ambao hauna majawabu sahihihatuko kwenye vyama vya siasa hapa zungumza mambo ya muhimu kama ulinyimwa kura ya udiwani pole sana endelea kusugua benchππππππππππππππ
Siasa za tz ndio chanzo kikuu cha kudumaa kwa taifahatuko kwenye vyama vya siasa hapa zungumza mambo ya muhimu kama ulinyimwa kura ya udiwani pole sana endelea kusugua benchππππππππππππππ
hapo labda fly over na hyo shopping mail kubwa ......Anzisha malls in Kenya vs Tz
Anzisha flyovers in Kenya vs Tz
Anzisha underpass in Kenya v tz
Anzisha Kenyan ports vs tz ports
Anzisha interchanges in kenya v tz
Anzisha agriculture in Kenya v tz
Industrialization in Kenya v tz
Compare GDP Kenya v tz
Internet users in Kenya v tz
Sgr Kenya v tz
Kila ki2 tunawachapa utajikojolea 2 hapo