Nairobi Vs Dar es Salaam: Towers over 20 floors

Nairobi Vs Dar es Salaam: Towers over 20 floors

kama kweli wew ni mtanzania ungesoma vizuri chanzo kilipo anzia mpaka kufikia hapo....usingekuruka kuongea hivyo hapa bwana kama kizuri kinasifiwa na kama kitu cha sifa tu huwa tunapingana .....ivyo upo wrong ndugu hakuna aliyekurupuka ungeanza na chanzo cha comment au ungeingia kwa kuuliza kijanja
Fatilia Kwanzaa ndugu... Kuna comment nime-quote kuanzia chanzo hadi comment ya mwisho. So please, use your own advice.
 
Fatilia Kwanzaa ndugu... Kuna comment nime-quote kuanzia chanzo hadi comment ya mwisho. So please, use your own advice.
Toa britam na nairobi golf kwenye list na under construction buildings yoyote toa tuendelee siuntaka tuendelee hehehhehehehehe
 
Mie na wapa tanzania hiyo building wanataka iwe 40 nasema ni 45 floors, Ichoboy hapo sawa kabisa? na Britam iondolewe sasa, piga hesabu tuone.., kisha endeleeni sasa wacha domo, facts, kama vile ilivyo bainika 8 million slum dwellers wako tz and 6 million wako kenya, tofauti ya 2m., kenya ina mikakati ya kuondoa hili janga na kazi imeanza, tz je? pombe ana plan gani kusaidia walala hoi?
 
Kabla ya kuingia Upanga pale
kwanza waondoe majengo hayaja kamilika
pia majengo 2 wameongeza Floor
Mm nakwambia hawa hawatoboi over 20 na below 20 hakuna sehemu wanatoka kwa dar
Ndio maana mambo yao hua yamekaa kuijanja ujanja tu maneno mengi sifa kibao
 
Mie na wapa tanzania hiyo building wanataka iwe 40 nasema ni 45 floors, Ichoboy hapo sawa kabisa? na Britam iondolewe sasa, piga hesabu tuone.., kisha endeleeni sasa wacha domo, facts, kama vile ilivyo bainika 8 million slum dwellers wako tz and 6 million wako kenya, tofauti ya 2m., kenya ina mikakati ya kuondoa hili janga na kazi imeanza, tz je? pombe ana plan gani kusaidia walala hoi?
Itoke britam itoke na nairobi golf hotel na any building ambayo iko under construction kabla hatujawaumbua humu, alafu unajua maana ya kujenga nchi ya viwanda, do u knw the meaning??? Soma utaelewa tu
 
Yataje ikiwezekana tuhesabu manually kama vp.
Tuanze na hilo lakwanza
sio 33fl ni 31fl
274d19237ed7e825d96a8998ade3d634.jpg
1b8386fd24ed5159b22da978ba678634.jpg

Uje kwenye Lemac tower ni 22fl na si 26fl
 
Toa britam, toa nairobi golf tuendelee
Hata Lemac bado haija kamilika
Unajua nilishangaa hawa kuchagua mtu asiye fahu historia ya hawa wakenya
niwapenda sifa sana
hupenda kuongeza Yakwao ili waonekane Wapo juu kumbe hovyo.
Kenya nzima majengo yaliyo kamilika lakwanza ni 31fl
Kuanzia 20+ Yapo 14 pekee nchi nzima
 
Fanyeni marekebisho kwenye Thread yenu
mruhusu tuingie sisi
msichague mtu asiye wafahamu!!
Kisha ondoeni hayo majengo 3 bado yana jengwa
kisha tuanze kuwachapa
 
Hata Lemac bado haija kamilika
Unajua nilishangaa hawa kuchagua mtu asiye fahu historia ya hawa wakenya
niwapenda sifa sana
hupenda kuongeza Yakwao ili waonekane Wapo juu kumbe hovyo.
Kenya nzima majengo yaliyo kamilika lakwanza ni 31fl
Kuanzia 20+ Yapo 14 pekee nchi nzima
Kumbe alikua anataka na under construction buildings nimemwambia tuanze upya hehehehe alafu tuone kama atatoka humu hehehehehe
 
Back
Top Bottom