Nairobi Vs Dar es Salaam: Towers over 20 floors

Nairobi Vs Dar es Salaam: Towers over 20 floors

dar imepigwa kwa over 20 buildings na nai,,,haiingii nai kwa roads,flyovers na interchanges,ongoing projects za skyscrapers nai ni nyingi kuliko bongo zenye ziko above 20 floors,nairobi is well planned kushinda dar,nai has better gated communities and apartments,nai has better malls than dar...kitu dar iko mbele ni brt peke yake.case closed
ha haaa jipe moyo .....
 
Tafadhali ondoa ambazo hazijakamilika kama ulivyosema "Only topped out buildings with exterior and interior finishing done will count." Alafu urekebishe list tuendeleze.

View attachment 497550 tuonyeshe hizo floor 4 extra zilipo ili game ishe Leo jamani tuendelee na mambo mengine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daah ,sasa unajuaje kama umeanza kuhesabu floor ya nne? Nn kinadhibitisha count yako ipo sawa?
 
Gorofa tunalo sisi alafu ubishe wewe tunapokwambia 40 floors kipi ambacho huamini hapo
27378706522_3636dfe782_b.jpg
 
lets think straight for a second here......
middle east wana import sana kahawa na majani chai.... kukaa kujipiga kifua kwamba bila sisi (exporter) middle east hawajanywa chai ni ujinga. zaidi zaidi ni kutumia nafasi hiyo hata kutengeneza matangazo yanayo sisitiza flani manufaa ya chai thereby utaongeza watumiaji na in the long run maximum profits.
nikirudi kwenye post yako, wewe na watanzania wengi tunachofanya ni kujipiga kifua kwamba bila sisi wakenya hawali which is rather stupid in my view.
Nchi ya kenya ni kame kwa asilimia zaidi ya sabini, wananchi wanazidi kuongezeka na mahitaji ya chakula pia yanaongezeka, hili ni soko zuri sana kwetu sisi tuliejaliwa asilimia kubwa ya nchi ina rotuba na mvua za kutosha kustawisha mazao yote, sasa je ipi bora, kufanya kilimo cha kisasa, kuiongezea thamani kwa kupakia vizuri na kuexport as finished/processed foodstuff, au kukaaa miaka yote kujipiga kifua kwamba bila Tanzania wakenya wanakufa njaa wakati hao wakulima bado ni masikini kama walivyokua miaka 20 iliopita???
Kwenye nyekundu umesema, "ng'ombe yanavyo ingia Kenya,". Leo hii, kama mtumiaji wa sausage, naamini ushakutana na sausage za farmers choice au Halal corned beef (kitu safi sana!) kwenye supermarket, hata kama wewe hutumii ila wapo watanzania wanaotumia na faida inaenda kenya, huku wewe unajipiga kifua kupeleka ng'ombe kenya.
Mashudu unayoongelea wanatengenezea lisho la hao ng'ombe na mwisho wa siku unakutana na maziwa ya brookside, UHT, na KCC kwenye shelf za supermarket kwa bei sawa au tofauti ya sh100 na azam/tanga fresh za hapa hapa.
Kiukweli inafaa tuamke, our standards are so low, tunaridhishwa na vitu vidogo vidogo sana. tukisharidhika ni wendo wa kupiga vifua na kupost picha za kibera na kuponda chochote kizuri! jamani!!!!!...
kama kweli wew ni mtanzania ungesoma vizuri chanzo kilipo anzia mpaka kufikia hapo....usingekuruka kuongea hivyo hapa bwana kama kizuri kinasifiwa na kama kitu cha sifa tu huwa tunapingana .....ivyo upo wrong ndugu hakuna aliyekurupuka ungeanza na chanzo cha comment au ungeingia kwa kuuliza kijanja
 
pinga na facts...gani mmetuzidi apo
Facts gani wewe endelea kujipa moyo tu ila kisu ndio kipo shingoni hatoki mtu kwenye list yenu kwanza toeni 2 underconstruction buildings hehehehe britam na nairobi golf hotel alafu tuendelee hakuna ujanja hapa
 
Facts gani wewe endelea kujipa moyo tu ila kisu ndio kipo shingoni hatoki mtu kwenye list yenu kwanza toeni 2 underconstruction buildings hehehehe britam na nairobi golf hotel alafu tuendelee hakuna ujanja hapa
we ni bwege sana..golf course ilitolewa zamani na ata iko complete toka zamani..ata britam ikitolewa bado mnadaiwa moja....you have nothing
 
Chakula gani tunatoa Tanzania????we unaota wewe..tea,coffee,horticulture,dairy,poultry inatupea mabillioni na kama unataka link ntakupea
oi nataka picha moja iliyopigwa kwa juu sana hapo nairobi city center kama jinsi tulivyokutumia apo......maana tokea hii thread iwepo sijaona picha ya dizain hyo.....nataka nicheke kidogo
 
1. Nairobi Britam (33 floors) V Dar TPA (36 floors)
2. Nairobi UAP 33 V Dar PSPF 1 35
3. Nairobi Times Tower V PSPF 2 35
4. Nairobi KICC 28 floors V Dar Rita 30 floors
5. Nairobi Social security house 1 28 floors V Dar Millennium Tower 30 floors
6. Nairobi Anniversary Tower 28 floors V Dar Uhuru Heights 27 floors
7. Nairobi Teleposta Tower 27 floors V Dar Umoja wa Vijana 1 25 floors
8. Nairobi Nyayo House 27 floors v Dar Umoja wa vijana 2 25 floors
9. Nairobi Lemac 26 floors V Dar PPF Golden Jubilee 24 floors.
10. Nairobi Co-operative Bank House 25 floors V Dar Golden Tulip 23 floors
11. Nairobi 4th Ngong Avenue Towet 25 floors V Dar Samora Tower 23 floors
12. Nairobi Hazina Tower 24 floors flooors v Dar Mafuta Tower 22 floors
13. Nairobi KCB Tower 23 floors V Mafao House 22 floors
14. Nairobi UoN Tower 22 floors v Dar Quality Boulevard 22 floors
15. Nairobi Ambank Tower 22 floors V Dar Viva Tower 21
16. Nairobi Lonrho House 22 floors V Dar BOT 1 20 floors
17. Nairobi National Bank Building 21 floors V Dar BOT 2 20 floors
18 Nairobi Uchumi House 21 floors V Dar Ushirika House 20 floors
19. Nairobi Golf Course Hotel 21 floors
TUENDELEENI VINGINEVYO THREAD IFUNGWE!!!!!.....
Nairobi golf haijatolewa toa na britam
Saedeque upoooooooo
 
Nairobi golf haijatolewa toa na britam
Saedeque upoooooooo
Deduct britam and nairobi golf immediately,are not suppose to be in the list, so up to this time 18 building tally each other!! Let's see who have other building...
 
Back
Top Bottom