Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
dude....grow up...wachana na hawa watanzania...always some dick meausring contest...wacha kutuaibisha wakenya...heri ulinganishe mambo ya kimsingi na sekta za uchumi....sawa nairobi ina mijengo mirefu...urefu wa mijengo una umuhimu upi?1. Nairobi Britam (33) v Dar TPA (35)
2. Nairobi UAP (33) V Dar PSPF (35)
3. Nairobi Times Tower (33) V Dar PSPF (35)
4. Nairobi KICC V ????
Waiting KweliKwanza
Hahahaha lazima mkimbiedude....grow up...wachana na hawa watanzania...always some dick meausring contest...wacha kutuaibisha wakenya
unaona? mambo ya upuzi haya...eti tushindane nani mwanaume? afadhai tulinganishe mji upi unavutia ama sekta za kiuchumi...mijengo ikiwa na more floors yasaidia nini apo? anyw, i rest my case....Hahahaha lazima mkimbie
Ona mwenzako kashaogopa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii ni hatari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Waogaaaa. Au ukitoka apo oohhh Nairobi
Kama we ni mshindi na mkubwa c usimame apo tushindane nan mwanaume[emoji23][emoji23][emoji23]
Mnaanzisha thread kwa kusema mmetuchapa kwa majengo above20 af tumeanza battle unaogopa
This is Dar es Salaam sio some type of shit city in 1960s
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maneno ya washindwajiunaona? mambo ya upuzi haya...eti tushindane nani mwanaume? afadhai tulinganishe mji upi unavutia ama sekta za kiuchumi...mijengo ikiwa na more floors yasaidia nini apo?
show me if there is a building in dar that looks like this at night...
UAP tower
Britam tower is the tallest building in east and central africa and second tallest in africa....game over! case closed! kenya 10 tz 0
twawapenda ndio...ila hatuna la kuogopa....twaogopa al shabaab
look at this globally renowned icon
KICC
I &M bank building (Investments and Mortgages building)
Nation building
basi kuna hili linalokuja 2020...nadhani hili litakunyamazisha...HASS TOWERS tallest building in Africa...angalia vizuri kwani haina mnara na ina 66 floors[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maneno ya washindwaji
Lazima uumie na uulize ivyo maana unaona kabisa ushashindwa ligi
Mkitoka apo mnakimbilia uko oohhh!! Nairobi inamajengo yanavutia
Kaz kuweka minara2
Ni kama huyu mwenzako analeta thread kudai et aliwahi kutuchapa kwa majengo above 20[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uku nilimpiga mwenyeweee
Na unaona jamaa kakimbia sahv
Af utasikia oohh Dar es salaam ni mji wa majengo mawili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo maana nasemaga haya majengo mawili yakija Nairobi yataonekana extraordinary
Yaan marefu sana kupita kiasi na haya yako tanzania
Kama UAP lenyewe lina 33flrs lkn linaonekana stracturewise lefu sana kuliko maelezo ukionganisha na mnara je TPA ambalo ni 178m af hiyo ni bila mnara
niliweka mijengo hiyo nikidhani tunalinganisha uvutio wa mijengo....baadae nikagundua wapumbavu wawili wanalinganisha ni mijengo ipi ina floors mingi....very shallow..it shows that ur either an illiterate or u are jobless.kuna mijengo mirefu sana na ina floors kidogo and vice versa.Yaan aka kajamaa ndo kanaanza kusema tuache kushindana majengo[emoji23][emoji23][emoji23]
Mwanzon kalikuwa kanajua katashinda battle
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]basi kuna hili linalokuja 2020...nadhani hili litakunyamazisha...HASS TOWERS tallest building in Africa...angalia vizuri kwani haina mnara na ina 66 floors
mijengo zilizomalizika Nairobi tayari zinatisha...si umeona picha nilizoweka....ukasema eti mijengo hio ina minara...nami nakuletea mjengo huu ambao utakunyamazisha kwani haina mnara...jengo lenyewe litakuwa na floors 66.....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We jamaa unachekesha
We're in 2017 subiri limarizike ndo uongee maana ata tz kuna ongoing projects ndo maana tunaonesha2 yaliomalizika
Kuna about7 towers ambazo ni over30flr zinazomalizika mda c mref. Yamebaki mambo madogo madogo na hatuzioneshi coz tuko present
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ukiona hivyo jua ni ujanjaujanjaniliweka mijengo hiyo nikidhani tunalinganisha uvutio wa mijengo....baadae nikagundua wapumbavu wawili wanalinganisha ni mijengo ipi ina floors mingi....very shallow..it shows that ur either an illiterate or u are jobless.kuna mijengo mirefu sana na ina floors kidogo and vice versa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hakili hunamijengo zilizomalizika Nairobi tayari zinatisha...si umeona picha nilizoweka....ukasema eti mijengo hio ina minara...nami nakuletea mjengo huu ambao utakunyamazisha kwani haina mnara...jengo lenyewe litakuwa na floors 66.....
mijengo zilizomalizika Nairobi tayari zinatisha...si umeona picha nilizoweka....ukasema eti mijengo hio ina minara...nami nakuletea mjengo huu ambao utakunyamazisha kwani haina mnara...jengo lenyewe litakuwa na floors 66.....
sawa umeshinda makofi kwako...dar imeshinda miji yote...umefurahi sasa? imekuletea chakula cha leo jioni mezani? very shallow[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ukiona hivyo jua ni ujanjaujanja
Leo hii naweza kujenga mnara juu ya gorofa tatu za nyumba na ndo likaonekana gorofa refu kuliko yote dunian
Af we jamaa hakili huna. Kama tuko jobless au ilitrate inakuhusu nn na wewe apa unafanya nn
Najua hilo kuwa tunawashindasawa umeshinda makofi kwako...dar imeshinda miji yote...umefurahi sasa? imekuletea chakula cha leo jioni mezani? very shallow
sawa hongera kwakoNajua hilo kuwa tunawashinda
Ulizaliwa lini kwani?
watanzania wa sikuhizi waongo kupindukia, mijitu inajifanya hailewi, Unashikwa live live ukidanganya na bado unakiri eti ni ukweli. Sisi si watoto wadogo bana, hamna kitu mwaeza tuambia Dar. Mnabaki kujiongezea ma floor kwa wikipedia bila reference hahahahahahWakenya mmezidiwa?mbona maneno mengi sana hatuoni hayo majengo? Tena Uzi mmeuanzisha wenyewe[emoji3][emoji3]
Mnamatatizo nyie wakenya nyieUlizaliwa lini kwani?
Skyscrappercity ni forum tu kama JF, mtu yoyote anaeza anzisha mada na ku edit title,
NairobiWalker
asha kuelezea ilikuaje hadi wakachange hio TPA na kuandika 40Fl ambapo si ukweli
Hata we mwenyewe ukitumia akili tu Kama PSPF ni 152.8M na ni 35 floors, TPA inaezaje kua eti 178M na zote zinatoshana, Kumbuka urefu hua unaanza kuhesabiwa kutoka ardhini kwahivyo hauezi ukasema eti zengine ziko chini.... Hio wikipedia ni wewe ndo ume-edit kabla kupost hapa.. hatujazaliwa leo bana!
Architectural design hii hapa, Keti chini ujihesabie
Tanzania Ports Authority Headquarters
View attachment 494762 View attachment 494765