Nairobi Vs Dar es Salaam: Towers over 20 floors

1. Nairobi Britam (33) v Dar TPA (35)
2. Nairobi UAP (33) V Dar PSPF (35)
3. Nairobi Times Tower (33) V Dar PSPF (35)
4. Nairobi KICC V ????

Waiting KweliKwanza
dude....grow up...wachana na hawa watanzania...always some dick meausring contest...wacha kutuaibisha wakenya...heri ulinganishe mambo ya kimsingi na sekta za uchumi....sawa nairobi ina mijengo mirefu...urefu wa mijengo una umuhimu upi?
 
dude....grow up...wachana na hawa watanzania...always some dick meausring contest...wacha kutuaibisha wakenya
Hahahaha lazima mkimbie
Ona mwenzako kashaogopa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii ni hatari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Waogaaaa. Au ukitoka apo oohhh Nairobi

Kama we ni mshindi na mkubwa c usimame apo tushindane nan mwanaume[emoji23][emoji23][emoji23]
Mnaanzisha thread kwa kusema mmetuchapa kwa majengo above20 af tumeanza battle unaogopa

This is Dar es Salaam sio some type of shit city in 1960s
 
unaona? mambo ya upuzi haya...eti tushindane nani mwanaume? afadhai tulinganishe mji upi unavutia ama sekta za kiuchumi...mijengo ikiwa na more floors yasaidia nini apo? anyw, i rest my case....
 
unaona? mambo ya upuzi haya...eti tushindane nani mwanaume? afadhai tulinganishe mji upi unavutia ama sekta za kiuchumi...mijengo ikiwa na more floors yasaidia nini apo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maneno ya washindwaji
Lazima uumie na uulize ivyo maana unaona kabisa ushashindwa ligi
Mkitoka apo mnakimbilia uko oohhh!! Nairobi inamajengo yanavutia
Kaz kuweka minara2
Ni kama huyu mwenzako analeta thread kudai et aliwahi kutuchapa kwa majengo above 20[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uku nilimpiga mwenyeweee
Na unaona jamaa kakimbia sahv
Af utasikia oohh Dar es salaam ni mji wa majengo mawili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo maana nasemaga haya majengo mawili yakija Nairobi yataonekana extraordinary
Yaan marefu sana kupita kiasi na haya yako tanzania
Kama UAP lenyewe lina 33flrs lkn linaonekana stracturewise lefu sana kuliko maelezo ukionganisha na mnara je TPA ambalo ni 178m af hiyo ni bila mnara
 
show me if there is a building in dar that looks like this at night...
UAP tower
1480576462702-jpg.441622
CvqnZXJXgAEZze_.jpg
A8366Vv.jpg

Britam tower is the tallest building in east and central africa and second tallest in africa....game over! case closed! kenya 10 tz 0
oX07n.jpg
FQfGuWI.jpg
kl3hghW.jpg
33287618292_980c976ec8_b.jpg

twawapenda ndio...ila hatuna la kuogopa....twaogopa al shabaab

look at this globally renowned icon
KICC
filename-kicc-main-night.jpg

I &M bank building (Investments and Mortgages building)
ae5223e7812dcf508022152348f71228.jpg
images
Tower.jpg
302707478_92302bf7ef_o.jpg

Nation building
NMG.jpg
IMG_20170112_161348_957.jpg
kenya-nairobi-nation-center-c1n057.jpg

Yaan aka kajamaa ndo kanaanza kusema tuache kushindana majengo[emoji23][emoji23][emoji23]
Mwanzon kalikuwa kanajua katashinda battle
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maneno ya washindwaji
Lazima uumie na uulize ivyo maana unaona kabisa ushashindwa ligi
Mkitoka apo mnakimbilia uko oohhh!! Nairobi inamajengo yanavutia
Kaz kuweka minara2
Ni kama huyu mwenzako analeta thread kudai et aliwahi kutuchapa kwa majengo above 20[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uku nilimpiga mwenyeweee
Na unaona jamaa kakimbia sahv
Af utasikia oohh Dar es salaam ni mji wa majengo mawili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo maana nasemaga haya majengo mawili yakija Nairobi yataonekana extraordinary
Yaan marefu sana kupita kiasi na haya yako tanzania
Kama UAP lenyewe lina 33flrs lkn linaonekana stracturewise lefu sana kuliko maelezo ukionganisha na mnara je TPA ambalo ni 178m af hiyo ni bila mnara
basi kuna hili linalokuja 2020...nadhani hili litakunyamazisha...HASS TOWERS tallest building in Africa...angalia vizuri kwani haina mnara na ina 66 floors
CWHoN3YWwAAT2Jl.jpg
 
Yaan aka kajamaa ndo kanaanza kusema tuache kushindana majengo[emoji23][emoji23][emoji23]
Mwanzon kalikuwa kanajua katashinda battle
niliweka mijengo hiyo nikidhani tunalinganisha uvutio wa mijengo....baadae nikagundua wapumbavu wawili wanalinganisha ni mijengo ipi ina floors mingi....very shallow..it shows that ur either an illiterate or u are jobless.kuna mijengo mirefu sana na ina floors kidogo and vice versa.
 
basi kuna hili linalokuja 2020...nadhani hili litakunyamazisha...HASS TOWERS tallest building in Africa...angalia vizuri kwani haina mnara na ina 66 floors
CWHoN3YWwAAT2Jl.jpg
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We jamaa unachekesha
We're in 2017 subiri limarizike ndo uongee maana ata tz kuna ongoing projects ndo maana tunaonesha2 yaliomalizika
Kuna about7 towers ambazo ni over30flr zinazomalizika mda c mref. Yamebaki mambo madogo madogo na hatuzioneshi coz tuko present
 
mijengo zilizomalizika Nairobi tayari zinatisha...si umeona picha nilizoweka....ukasema eti mijengo hio ina minara...nami nakuletea mjengo huu ambao utakunyamazisha kwani haina mnara...jengo lenyewe litakuwa na floors 66.....
 
niliweka mijengo hiyo nikidhani tunalinganisha uvutio wa mijengo....baadae nikagundua wapumbavu wawili wanalinganisha ni mijengo ipi ina floors mingi....very shallow..it shows that ur either an illiterate or u are jobless.kuna mijengo mirefu sana na ina floors kidogo and vice versa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ukiona hivyo jua ni ujanjaujanja
Leo hii naweza kujenga mnara juu ya gorofa tatu za nyumba na ndo likaonekana gorofa refu kuliko yote dunian

Af we jamaa hakili huna. Kama tuko jobless au ilitrate inakuhusu nn na wewe apa unafanya nn
 
mijengo zilizomalizika Nairobi tayari zinatisha...si umeona picha nilizoweka....ukasema eti mijengo hio ina minara...nami nakuletea mjengo huu ambao utakunyamazisha kwani haina mnara...jengo lenyewe litakuwa na floors 66.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hakili huna
We're not talking of future were talking of present times
Hilo kama litajengwa baadae hiyo baadae tuletee actual picha
 
mijengo zilizomalizika Nairobi tayari zinatisha...si umeona picha nilizoweka....ukasema eti mijengo hio ina minara...nami nakuletea mjengo huu ambao utakunyamazisha kwani haina mnara...jengo lenyewe litakuwa na floors 66.....
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ukiona hivyo jua ni ujanjaujanja
Leo hii naweza kujenga mnara juu ya gorofa tatu za nyumba na ndo likaonekana gorofa refu kuliko yote dunian

Af we jamaa hakili huna. Kama tuko jobless au ilitrate inakuhusu nn na wewe apa unafanya nn
sawa umeshinda makofi kwako...dar imeshinda miji yote...umefurahi sasa? imekuletea chakula cha leo jioni mezani? very shallow
 
Wakenya mmezidiwa?mbona maneno mengi sana hatuoni hayo majengo? Tena Uzi mmeuanzisha wenyewe[emoji3][emoji3]
 
Ulizaliwa lini kwani?
Skyscrappercity ni forum tu kama JF, mtu yoyote anaeza anzisha mada na ku edit title,
NairobiWalker
asha kuelezea ilikuaje hadi wakachange hio TPA na kuandika 40Fl ambapo si ukweli

Hata we mwenyewe ukitumia akili tu Kama PSPF ni 152.8M na ni 35 floors, TPA inaezaje kua eti 178M na zote zinatoshana, Kumbuka urefu hua unaanza kuhesabiwa kutoka ardhini kwahivyo hauezi ukasema eti zengine ziko chini.... Hio wikipedia ni wewe ndo ume-edit kabla kupost hapa.. hatujazaliwa leo bana!

Architectural design hii hapa, Keti chini ujihesabie
Tanzania Ports Authority Headquarters

Tanzania-Ports-Authority-Headquarters-Rendering-01.jpg
IMG-20160425-WA0018_zpssu911zuq.jpg
 
Wakenya mmezidiwa?mbona maneno mengi sana hatuoni hayo majengo? Tena Uzi mmeuanzisha wenyewe[emoji3][emoji3]
watanzania wa sikuhizi waongo kupindukia, mijitu inajifanya hailewi, Unashikwa live live ukidanganya na bado unakiri eti ni ukweli. Sisi si watoto wadogo bana, hamna kitu mwaeza tuambia Dar. Mnabaki kujiongezea ma floor kwa wikipedia bila reference hahahahahah
 
Ulizaliwa lini kwani?
Skyscrappercity ni forum tu kama JF, mtu yoyote anaeza anzisha mada na ku edit title,
NairobiWalker
asha kuelezea ilikuaje hadi wakachange hio TPA na kuandika 40Fl ambapo si ukweli

Hata we mwenyewe ukitumia akili tu Kama PSPF ni 152.8M na ni 35 floors, TPA inaezaje kua eti 178M na zote zinatoshana, Kumbuka urefu hua unaanza kuhesabiwa kutoka ardhini kwahivyo hauezi ukasema eti zengine ziko chini.... Hio wikipedia ni wewe ndo ume-edit kabla kupost hapa.. hatujazaliwa leo bana!

Architectural design hii hapa, Keti chini ujihesabie
Tanzania Ports Authority Headquarters

View attachment 494762 View attachment 494765
Mnamatatizo nyie wakenya nyie
Hiyo website inakuwa controlled na adiministrators ambao wanatoa kila ki2 ambacho akijawa approved
Secondly
Hii design imeanzia wapi katika kujenga
Na ilipoanzia ndo jengo linapoanzia kuhesabiwa

Nyie wakenya mnabisha na kuleta viwebsite uchwara2
Lkn you have to be smart to lie
4121b8c0d8dff00c145c84484a143338.jpg

Where does the design start????
 
Back
Top Bottom