Ulizaliwa lini kwani?
Skyscrappercity ni forum tu kama JF, mtu yoyote anaeza anzisha mada na ku edit title,
NairobiWalker
asha kuelezea ilikuaje hadi wakachange hio TPA na kuandika 40Fl ambapo si ukweli
Hata we mwenyewe ukitumia akili tu Kama PSPF ni 152.8M na ni 35 floors, TPA inaezaje kua eti 178M na zote zinatoshana, Kumbuka urefu hua unaanza kuhesabiwa kutoka ardhini kwahivyo hauezi ukasema eti zengine ziko chini.... Hio wikipedia ni wewe ndo ume-edit kabla kupost hapa.. hatujazaliwa leo bana!
Architectural design hii hapa, Keti chini ujihesabie
Tanzania Ports Authority Headquarters
View attachment 494762 View attachment 494765