Nairobi Vs Dar es Salaam: Towers over 20 floors

Yeah lakin kumbuka dar imebadrika miaka hii miwili
Ndo maana majengo mengi ni ya miaka hii

Waingereza walijenga Nairobi kama vile watakaa milele, na wakaupanga - ila Dar ime sprung up tu; kwahiyo hata standard za planning sio nzuri;
 
Endelea kubisha hivyo hivyo
Majengo ya Dar haya Refushwi na Minara

Jengo 200m lina 31Fl!!
Huo ni ujinga
Umeona unachosema hai-make sense umekimbia kwenye minara! Hahaha
Umepata pa kuchomokeaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Waingereza walijenga Nairobi kama vile watakaa milele, na wakaupanga - ila Dar ime sprung up tu; kwahiyo hata standard za planning sio nzuri;
Ati imesprung up tu, dude kunayo city plan ya dsm.
Wale ambao hawapo kwenye plan kama manzese, bondeni, kinondoni shamba etc wote weshawekewa X.
Acha hizo ase, imesprung up tu? Maajabu, ww hujazaliwa dsm
 
Ilo jengo haliwezi kua zaidi ya 157M, Kwa macho tu ni katibia lifanane na pspf ,labda ama mnahesabu hadi underground floor
Macho yako yanaona kwenye picha ushaziona kwa karibu ukiwa live????????? Usiongee kama huna uhakika wa jambo
 
Umeona unachosema hai-make sense umekimbia kwenye minara! Hahaha
Umepata pa kuchomokeaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Hakuna sehemu amechomeka ni kwamba TPA ni 40 floors hata uandamane kwenda kwa kenyataa hutabadilisha floors za TPA wala mamayake TPA
Acha kulia lia ovyooo
 
Watu tumejenga nchi within 10 yrs na mapovuuu juu je ingekua 20 yrs hahahhahaha na kazi munayo wacha tusubiri tuone hahhahaha hii ndio Tanzania mpya na bado jiandaeni vzr πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ hakuna mtu kulia lia ovyo hapa
 
Waingereza walijenga Nairobi kama vile watakaa milele, na wakaupanga - ila Dar ime sprung up tu; kwahiyo hata standard za planning sio nzuri;
Inamaana waingireza pia wali plan slums za nairobi??????? Na plz unijibu swali langu kwa facts ctaki porojo
 
Hakuna sehemu amechomeka ni kwamba TPA ni 40 floors hata uandamane kwenda kwa kenyataa hutabadilisha floors za TPA wala mamayake TPA
Acha kulia lia ovyooo
hata ukisema ni floor 500 sawa tu, ila kila kitu Kiko wazi.......
We kaandamane tu..... mi nasubiri kuona kama wataongeza hata tofari moja baada ya maandamano.
 
hata ukisema ni floor 500 sawa tu, ila kila kitu Kiko wazi.......
View attachment 499650 View attachment 499649We kaandamane tu..... mi nasubiri kuona kama wataongeza hata tofari moja baada ya maandamano.
Af hizo site zenu uchwara za kutengeneza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie makenya wajinga sana yaan mnakoswa kaz mnawaza kumchawia mwenzenu
 
Umesahau Dar Golden Jubilee Towers 23 floors
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…