Nairobi Vs Dar es Salaam: Towers over 20 floors

Nairobi Vs Dar es Salaam: Towers over 20 floors

Wewe unaubishi wakijinga sana
81db6f451e7f9c5656ed0307f6031f4e.jpg
e0e28634c8328c78bf8c69a1a4e05ec2.jpg

Now it's no longer 180m but 187m? Haha..... I await to see JF Tanzanians raise this building's height to 1km in their minds!! Hahaha!!
 
Waingereza walijenga Nairobi kama vile watakaa milele, na wakaupanga - ila Dar ime sprung up tu; kwahiyo hata standard za planning sio nzuri;
Ati imesprung up tu, dude kunayo city plan ya dsm.
Wale ambao hawapo kwenye plan kama manzese, bondeni, kinondoni shamba etc wote weshawekewa X.
Acha hizo ase, imesprung up tu? Maajabu, ww hujazaliwa dsm
 
Ilo jengo haliwezi kua zaidi ya 157M, Kwa macho tu ni katibia lifanane na pspf ,labda ama mnahesabu hadi underground floor
Macho yako yanaona kwenye picha ushaziona kwa karibu ukiwa live????????? Usiongee kama huna uhakika wa jambo
 
Umeona unachosema hai-make sense umekimbia kwenye minara! Hahaha
Umepata pa kuchomokea😀😀😀
Hakuna sehemu amechomeka ni kwamba TPA ni 40 floors hata uandamane kwenda kwa kenyataa hutabadilisha floors za TPA wala mamayake TPA
Acha kulia lia ovyooo
 
Watu tumejenga nchi within 10 yrs na mapovuuu juu je ingekua 20 yrs hahahhahaha na kazi munayo wacha tusubiri tuone hahhahaha hii ndio Tanzania mpya na bado jiandaeni vzr 😀😀😀😀😀😀😀😀😀 hakuna mtu kulia lia ovyo hapa
 
Waingereza walijenga Nairobi kama vile watakaa milele, na wakaupanga - ila Dar ime sprung up tu; kwahiyo hata standard za planning sio nzuri;
Inamaana waingireza pia wali plan slums za nairobi??????? Na plz unijibu swali langu kwa facts ctaki porojo
1200px-Nairobi_slums_area.svg.png
 
Hakuna sehemu amechomeka ni kwamba TPA ni 40 floors hata uandamane kwenda kwa kenyataa hutabadilisha floors za TPA wala mamayake TPA
Acha kulia lia ovyooo
hata ukisema ni floor 500 sawa tu, ila kila kitu Kiko wazi.......
Screenshot_2017-04-22-20-12-21.jpg
Screenshot_2017-04-17-21-49-13.jpg
We kaandamane tu..... mi nasubiri kuona kama wataongeza hata tofari moja baada ya maandamano.
 
hata ukisema ni floor 500 sawa tu, ila kila kitu Kiko wazi.......
View attachment 499650 View attachment 499649We kaandamane tu..... mi nasubiri kuona kama wataongeza hata tofari moja baada ya maandamano.
Af hizo site zenu uchwara za kutengeneza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie makenya wajinga sana yaan mnakoswa kaz mnawaza kumchawia mwenzenu
 
cholo mzii weka building tuendeleee maneno mengi ya nini??????

1. Nairobi uap 33 V Dar TPA (40floors)
2. Nairobi times tower 33 V Dar PSPF 1 35
3. Nairobi kicc tower 28fl V PSPF 2 35
4. Nairobi social security 28 V Dar Rita 30 floors
5. Nairobi anivesary tower 28 V Dar Millennium Tower 30 floors
6. Nairobi teleposta tower 27 V Dar Uhuru Heights 27 floors
7. Nairobi nyayo house 27 V Dar Umoja wa Vijana 1 25 floors
8. Nairobi co operative bank 25 v Dar Umoja wa vijana 2 25 floors
9. Nairobi 4th ngong avenue 25 V Dar PPF Golden Jubilee 24 floors.
10. Nairobi hazina tower 24 V Dar Golden Tulip 23 floors
11. Nairobi kcb tower 23 V Dar Samora Tower 23 floors
12. Nairobi uon tower 22 v Dar Mafuta Tower 22 floors
13. Nairobi ambank tower 22 V Mafao House 22 floors
14. Nairobi lonrho house 22 v Dar Quality Boulevard 22 floors
15. Nairobi national bank 21 V Dar Viva Tower 21
16. Nairobi uchumi house 21 V Dar BOT 1 20 floors
17. Nairobi reinsuarace plaza 20 V Dar BOT 2 20 floors
18 Nairobi??????? V Dar Ushirika House 20 floors
Umesahau Dar Golden Jubilee Towers 23 floors
 
Back
Top Bottom