NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 14,267
- 14,890
- Thread starter
- #1,441
Wewe unaubishi wakijinga sana
![]()
![]()
Now it's no longer 180m but 187m? Haha..... I await to see JF Tanzanians raise this building's height to 1km in their minds!! Hahaha!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unaubishi wakijinga sana
![]()
![]()
Wacha ushamba weweNow it's no longer 180m but 187m? Haha..... I await to see JF Tanzanians raise this building's height to 1km in their minds!! Hahaha!!
Ilo jengo haliwezi kua zaidi ya 157M, Kwa macho tu ni katibia lifanane na pspf ,labda ama mnahesabu hadi underground floor
Yeah lakin kumbuka dar imebadrika miaka hii miwili
Ndo maana majengo mengi ni ya miaka hii
Umeona unachosema hai-make sense umekimbia kwenye minara! HahahaEndelea kubisha hivyo hivyo
Majengo ya Dar haya Refushwi na Minara
Jengo 200m lina 31Fl!!
Huo ni ujinga![]()
Ati imesprung up tu, dude kunayo city plan ya dsm.Waingereza walijenga Nairobi kama vile watakaa milele, na wakaupanga - ila Dar ime sprung up tu; kwahiyo hata standard za planning sio nzuri;
Acha kulia lia wewe hahhahahhha😀😀😀😀😀Uprofesa wa kubadilisha Wikipedia ni wako. We are not that pathetic
Macho yako yanaona kwenye picha ushaziona kwa karibu ukiwa live????????? Usiongee kama huna uhakika wa jamboIlo jengo haliwezi kua zaidi ya 157M, Kwa macho tu ni katibia lifanane na pspf ,labda ama mnahesabu hadi underground floor
Hakuna sehemu amechomeka ni kwamba TPA ni 40 floors hata uandamane kwenda kwa kenyataa hutabadilisha floors za TPA wala mamayake TPAUmeona unachosema hai-make sense umekimbia kwenye minara! Hahaha
Umepata pa kuchomokea😀😀😀
Inamaana waingireza pia wali plan slums za nairobi??????? Na plz unijibu swali langu kwa facts ctaki porojoWaingereza walijenga Nairobi kama vile watakaa milele, na wakaupanga - ila Dar ime sprung up tu; kwahiyo hata standard za planning sio nzuri;
Wewe hata useme vp hupunguzi 40 floors za TPAWaambie labda watakusikia.
Ushabugi kijanaThe building is 157m. All this supposed 'confusion' is brought by people in denial because they would have wished it to be taller.
Project - Tanzania Ports Authority
hata ukisema ni floor 500 sawa tu, ila kila kitu Kiko wazi.......Hakuna sehemu amechomeka ni kwamba TPA ni 40 floors hata uandamane kwenda kwa kenyataa hutabadilisha floors za TPA wala mamayake TPA
Acha kulia lia ovyooo
The same way, your wish of 40 floors will not add the floors to 40.Wewe hata useme vp hupunguzi 40 floors za TPA
😀😀😀😀😀😀😀😀
Cjui hizi unazionahata ukisema ni floor 500 sawa tu, ila kila kitu Kiko wazi.......
View attachment 499650 View attachment 499649We kaandamane tu..... mi nasubiri kuona kama wataongeza hata tofari moja baada ya maandamano.
Af hizo site zenu uchwara za kutengeneza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hata ukisema ni floor 500 sawa tu, ila kila kitu Kiko wazi.......
View attachment 499650 View attachment 499649We kaandamane tu..... mi nasubiri kuona kama wataongeza hata tofari moja baada ya maandamano.
Umesahau Dar Golden Jubilee Towers 23 floorscholo mzii weka building tuendeleee maneno mengi ya nini??????
1. Nairobi uap 33 V Dar TPA (40floors)
2. Nairobi times tower 33 V Dar PSPF 1 35
3. Nairobi kicc tower 28fl V PSPF 2 35
4. Nairobi social security 28 V Dar Rita 30 floors
5. Nairobi anivesary tower 28 V Dar Millennium Tower 30 floors
6. Nairobi teleposta tower 27 V Dar Uhuru Heights 27 floors
7. Nairobi nyayo house 27 V Dar Umoja wa Vijana 1 25 floors
8. Nairobi co operative bank 25 v Dar Umoja wa vijana 2 25 floors
9. Nairobi 4th ngong avenue 25 V Dar PPF Golden Jubilee 24 floors.
10. Nairobi hazina tower 24 V Dar Golden Tulip 23 floors
11. Nairobi kcb tower 23 V Dar Samora Tower 23 floors
12. Nairobi uon tower 22 v Dar Mafuta Tower 22 floors
13. Nairobi ambank tower 22 V Mafao House 22 floors
14. Nairobi lonrho house 22 v Dar Quality Boulevard 22 floors
15. Nairobi national bank 21 V Dar Viva Tower 21
16. Nairobi uchumi house 21 V Dar BOT 1 20 floors
17. Nairobi reinsuarace plaza 20 V Dar BOT 2 20 floors
18 Nairobi??????? V Dar Ushirika House 20 floors