Nairobi Vs Dar es Salaam: Towers over 20 floors

Nairobi Vs Dar es Salaam: Towers over 20 floors

Typical tanzanian ...hujafika mji wowote na usitudanganye
Kisii nimefika
Nairobi nimefika. Migori nimefika. Kisumu nimefika. Sirali nimefika.
Na miji kibaoo.
Cjafika Nakuru lamu na Mombasa

Besides mko vizuri kwa kilimo

Tz mji ambao cjafiki ni Tanga na Lindi na mtwara

Mji nilioupenda besides Nirobi kwa kenya ni Kisii maana kamji kadogo ila biashara inatembea kwa kasi sana
Ila Kisumu imezidiwa na mwanza tena mbali2
Kibaya ni kuwa weTanzanians hatupigipigi picha
 
So umefika kisumu bila kupitia nakuru!!ama ulienda by air!! Unaona huu ujinga ..ati umefika kisumu lakini nakuru bado ...ulipitia njia gani?
 
Kisumu is the biggest city in lake Victoria..take that to the bank...labda mwanza kwa population but kwa development pole
Fungua thread twende kazi mm hua siongei sana hehhehhhhehhehehe naona unahamu kujua cities za bongo twende kazi hakuna porojo
 
So umefika kisumu bila kupitia nakuru!!ama ulienda by air!! Unaona huu ujinga ..ati umefika kisumu lakini nakuru bado ...ulipitia njia gani?
Ivi unajua maana ya kufika?????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kufika maana yake unafika na kuexproler
Besides kama nilipita bas ni kamji kadogo coz i ddnt notice

Na ukisema kiivyo unamaana miji mingi sana kenya nimepita[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe ndo maana unaidharau TZ maana ukipita sehem flan unadhan umefika
Besides stend nyingi Tz ziko pemben kidogo na mji, na Nairobi ile ndo stend gan sa
 
Izo macity bila dar hakuna enye inachapa Eldoret
bc810b46c58452b84f4d4200a0029a97.jpg
63fbffb31379212ac0aef161be285a4f.jpg
We kama unajiamini fungua thread twende kazi naona unaongea sana wewe
 
Nairobi ,mombasa ,nakuru ,eldoret , kisumu,kericho,kiambu,nyeri ...etc ...kma huijui kenya fyata mdomo na uende ufanye research ...
Is kisumu a city hehehehehhrhe acheni vituko basi kueni serious😀😀😀😀
City kwenu ni mbili tu nairobi na mombasa tu
 
Those are which cities...its only Zanzibar&arusha that are famous.. Zingine ni cities kwa standard zenu ziipimanishwa na za Kenya zitakua za mwisho
Jaribu sasa uone fungua thread maneno mengi ya nini sasa hahhahhaha unaongea sana fungua thread tuingie mzigoni alafu uone sasa hehehehheheheheheh
 
Back
Top Bottom