Nairobi Vs Dar es Salaam: Towers over 20 floors

Nairobi Vs Dar es Salaam: Towers over 20 floors

Si ati Mombasa somehow..the 2nd biggest port in Africa after Durban south Africa unasema somehow
We unaelewa unachoambiwa unazungumzia port wakat unaambiwa city punguza wenge na utulize akili Tanzania kuna port 4 na zote zinafanya kazi so utumie akili
 
Alafu uzuri wa Tanzania kila city na kila mkoa una kua kwa kasi sana kwasababu hatujarundika viwanda vyote dar kama walivofanya Kenya...yani kila mkoa unakua kwa kasi kwasababu kila mikoa viwanda vinajengwa kwa kasi sana
 
Kenya kuna ki2 inaitwa devolution imesaidia sana Ku decongest Nairobi kiasi nakudevelop mashinani..umeona kisii wewe
 
We huogopa facts sana..ata tourists wanaenda Mombasa ni wengi kushinda darslum
Bangladesh slums in Mombasa Kenya
Bangi3.jpg
Bangi1.jpg
Bangi2.jpg
 
Back
Top Bottom