Nairobi vs Kampala

Sasa estates si zakupanga kama hoter ? Sasa walio panga Kwa estate watasemaje ni kwao
Hzo estates ni za wakenya pia...labda hko kwenu ndio kutabaki wahindi na waarabu
 
Kariakoo pekee ina magorofa mengi kuliko headquarters za slums Africa Nairobi [emoji23][emoji23][emoji23]

Dar is a Slum. Hizo magorofa za kariokoo ni apartments za Eastlands huku. CBD yenu ni ndogo kuliko ya Nakuru with only 3 towers and you have the guts to compare that Crap with the Great Nairobi #New York of Africa! [emoji23]
 
Sio kila anayeishi kw estate amepanga...duh!!kwel wewe kumbe hujielewi...hzo gated commuties watu wananunua pia... umelipwa ili uje upige domo nn?
Sasa estates si zakupanga kama hoter ? Sasa walio panga Kwa estate watasemaje ni kwao
 
Imekuingia hiyo [emoji23][emoji23][emoji23]
Kariakoo pekee ina magorofa mengi kuliko headquarters za slums Africa Nairobi.
Dar is a Slum. Hizo magorofa za kariokoo ni apartments za Eastlands huku. CBD yenu ni ndogo kuliko ya Nakuru with only 3 towers and you have the guts to compare that Crap with the Great Nairobi #New York of Africa! [emoji23]
 
Sasa topic ni ya Nairobi vs Kampala alafu unaingizia Dar na Mombasa n wapi na wapi. Watu tunata kuona positive comments ili tujifunze vingi na sio kupondana.
 
That's fact even though am Kenyan.
Ushawahi kusikia Kampala katika list za slum duniani??!...
Lakini Nairobi kuna slum zaidi ya nne katika list ya slum mbaya zaidi duniani..
Kampala is better than Nairobi,
 
Haikua haki au sawa kupambanisha Wakenya na Waganda, hata ukijaribu haiwezi kufanyika, nimeishi Uganda jameni wale watu wana ukarimu wa asili, tena hawajisifu wala nini ipo ndani ya damu yao, sijawahi kujihisi mwenye furaha kama mgeni kama ilivyokua kwa Waganda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…