Sheng' yako haileti shangwe bradhe.Hawa wa Tz huwa na ujinga mob mazee.. mimi niko uku ushagoo but nina stayingi side za korogocho nikijanga tao. Ebu peana picha za estate unayo stay tuwa show vile walivyo mafala.
ukitamka DAR uwe unajua DAR nini DAR sio ulimwengu wako ndugu DAR ni high level DAR nikubwa kinyama zaidi ya unavyoijua dar ni kama ka nchi hivi usilingsnishe na kifungishio kama nairobiView attachment 1198782
Hili linafunguliwa hiv karibunHivi lini Dar iliishinda Mombasa, maana ndio level yake, ama kwa kujenga majengo mawili mkaanza kutunisha misuli na kujiona mumekaribia hadhi ya kupimana na Nairobi.
Mjenge walau superhighway moja ili muwaze kuitaja Nairobi, sio hapo mlijenga flyover moja ikawa kivutio cha watalii Tanzania yote, ilhali flyover za Nairobi tumezichoka.
Hivi unafahamu uchumi wa Nairobi pekee yake unatoshana na uchumi wa Tanzania yote, yaani muungano wa nchi zote mbili Tanganyika na Zanzibar.
Anajaribu kitu hawezzani nayo.Sheng' yako haileti shangwe bradhe.
Hawa wa Tz huwa na ujinga mob mazee.. mimi niko uku ushagoo but nina stayingi side za korogocho nikijanga tao. Ebu peana picha za estate unayo stay tuwa show vile walivyo mafala.
[emoji3] Sasa hiyo ndiyo maneno, siyo kama estate zao zimechapa. Nikija tao uni invite tuje tumange githeri.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sheng' yako haileti shangwe bradhe.
Mosi mosi wasee.. niaje! Gai.. kwani nime manga bibi zenu mpaka mna catch ki hivyo. Zi waseeAnajaribu kitu hawezzani nayo.
[emoji3] Sasa hiyo ndiyo maneno, siyo kama estate zao zimechapa. Nikija tao uni invite tuje tumange githeri.
Nonsense ,total hogwash deecarter.Nairobi ni jiji kubwa kwa upande wa kenya na ndio jiji lililokuwa linashikilia nafasi ya kwanza katika majiji makubwa afrika mashariki kabla ya jiji la Dar es salaam kufanya revolution na kuwa mbele zaidi ya Nairobi sasa ni wakati wa comparison kati ya Nairobi na kampala. kwa upande wa kampala ndio jiji kubwa zaidi nchini Uganda and apart from that kampala inaweza kulinganishwa na majiji mengine kama Nairobi
TUMIA BUSARA KUJIBU NA SIO MATUSI
HII MAMBO YA KUKALILI HEBU TUIACHE
PLEASE ITs ONLY ABOUT NAIROBI and KAMPALA
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Itawachukua Kampala several centuries kutufikia Nairobi hapa
ππππ Hizo ni cages za ng'ombe za murang'a hizo ndio semi luxury buses za kuingilia taoo from ushagooKweli mkuu, Tusifananishe jiji la kisasa kama Nairobi na Vimiji vya kizamani kama Kampala,
Tazama namna jiji la kisasa na Modern public Transport,
View attachment 1198980
Huko nilikaanga pia, kando ya road hapo wana uzaga chapoo fulani ziko poa tu yani. Vile unabonga sheng yako una nibamba jo.. unani remind wasee wangu, ma boyz wa mtaa side za mathare na kayole. Msalimie mama Wanjiru, mwendee mtajie jina langu halafu mwambie akupee vitu zangu, yeye atashikanisha.
Now nimeshift pande za West budda, land lord wa huku hananga maneno mob, life iko good side hii kidedli bradhe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Now nimeshift pande za West budda, land lord wa huku hananga maneno mob, life iko good side hii kidedli bradhe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wa Tz mnakuwa na umama, ebu ni show place unayo stay hapo Dar. Sai nipo Kisumu, huku ma taxi ni ma bikes.Nimetapika hapa [emoji23][emoji23][emoji23]
Wa Tz mnakuwa na umama, ebu ni show place unayo stay hapo Dar. Sai nipo Kisumu, huku ma taxi ni ma bikes.View attachment 1198986
Ahahahah asee hi Tabora kabbisa.Wa Tz mnakuwa na umama, ebu ni show place unayo stay hapo Dar. Sai nipo Kisumu, huku ma taxi ni ma bikes.View attachment 1198986
unamanya mama wanjiru huwanga busy na mbogi ya kimonyoski time nyingi, halafu hujipatanga ako maji kidedlee Jo! But usiingize njeve buddaHuko nilikaanga pia, kando ya road hapo wana uzaga chapoo fulani ziko poa tu yani. Vile unabonga sheng yako una nibamba jo.. unani remind wasee wangu, ma boyz wa mtaa side za mathare na kayole. Msalimie mama Wanjiru, mwendee mtajie jina langu halafu mwambie akupee vitu zangu, yeye atashikanisha.