Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
It is time to compare these two cities
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
It is time to compare these two cities
It is time to compare these two cities
[emoji23][emoji23]
Pole una washabikia mabepari eti? Ukiona wanapiga kelele jua kende zao zimebanwa, najua wanaifagilia Kenya maana 1/4 ya ardhi yenu wanaimiliki wakati maskini wazalendo wa nchi hawana pa kulima, elite wameshika uchumi, hongereni. Acha sisi twende na Jpm kwa ulinzi wa rasilimali, hatutatishwa na kelele za wanyonyaji acha wamuite majina yote hatutajali.
Nawarabu na wahindi Jeh? we are the richest in your country by far... u others only want free money to collect gold in your shamba..why not build big companies like us?Pole una washabikia mabepari eti? Ukiona wanapiga kelele jua kende zao zimebanwa, najua wanaifagilia Kenya maana 1/4 ya ardhi yenu wanaimiliki wakati maskini wazalendo wa nchi hawana pa kulima, elite wameshika uchumi, hongereni. Acha sisi twende na Jpm kwa ulinzi wa rasilimali, hatutatishwa na kelele za wanyonyaji acha wamuite majina yote hatutajali.
Hakuna ukoloni mzuri kama kuteka akili ya Mwafrika hasa anaejiona na ni mzungu, poleni wakenya itawachukua mia mia kujua mzungu sio rafiki hasa kama hata benefit na rasilimali zako utakutana na propaganda za kufa mtu, hatuogopi tutasonga, mkitaka kukeuka mawe ninyi keukeni.
Rich Gulf Arabs using Tanzania as a playground? Someone opened the gate | Nesrine MalikPole una washabikia mabepari eti? Ukiona wanapiga kelele jua kende zao zimebanwa, najua wanaifagilia Kenya maana 1/4 ya ardhi yenu wanaimiliki wakati maskini wazalendo wa nchi hawana pa kulima, elite wameshika uchumi, hongereni. Acha sisi twende na Jpm kwa ulinzi wa rasilimali, hatutatishwa na kelele za wanyonyaji acha wamuite majina yote hatutajali.
Hakuna ukoloni mzuri kama kuteka akili ya Mwafrika hasa anaejiona nae ni mzungu, poleni wakenya itawachukua mia mia kujua mzungu sio rafiki hasa kama hata benefit na rasilimali zako utakutana na propaganda za kufa mtu, hatuogopi tutasonga, mkitaka kugeuka mawe ninyi keukeni.
Ndg jivunie utajiri wa makaratasi wakati wakenya wanakufa njaa, umaskini umetamalaki, wakikusikia wenzio wa kaskazini na slams za nai na miji mingine hakika utatoswa baharini kwa usaliti kwa kushabikia mali za wachache wakati majority hawana ata pa kulima achilia mbali kiwanja cha kujenga hata vibanda.Nawarabu na wahindi Jeh? we are the richest in your country by far... u others only want free money to collect gold in your shamba..why not build big companies like us?
Rich Gulf Arabs using Tanzania as a playground? Someone opened the gate | Nesrine MalikNdg jivunie utajiri wa makaratasi wakati wakenya wanakufa njaa, umaskini umetamalaki, wakikusikia wenzio wa kaskazini na slams za nai na miji mingine hakika utatoswa baharini kwa usaliti kwa kushabikia mali za wachache wakati majority hawana ata pa kulima achilia mbali kiwanja cha kujenga hata vibanda.
Wajue kwamba mti wenye matunda mazuri ndiyo hupigwa mawe. JPM wewe songa mbele.Pole una washabikia mabepari eti? Ukiona wanapiga kelele jua kende zao zimebanwa, najua wanaifagilia Kenya maana 1/4 ya ardhi yenu wanaimiliki wakati maskini wazalendo wa nchi hawana pa kulima, elite wameshika uchumi, hongereni. Acha sisi twende na Jpm kwa ulinzi wa rasilimali, hatutatishwa na kelele za wanyonyaji acha wamuite majina yote hatutajali.
Hakuna ukoloni mzuri kama kuteka akili ya Mwafrika hasa anaejiona nae ni mzungu, poleni wakenya itawachukua mia mia kujua mzungu sio rafiki hasa kama hata benefit na rasilimali zako utakutana na propaganda za kufa mtu, hatuogopi tutasonga, mkitaka kugeuka mawe ninyi keukeni.
Jobless muarabu unalandalanda kila threadWhat job do u have other than googling Kenya?
We need more Arabs lakini sïo waarabu jobless kama wewe ulivyo dai
You are the richest wakati wewe jobless. Huyu jamaa jobless kiufupi ni baby mamaNawarabu na wahindi Jeh? we are the richest in your country by far... u others only want free money to collect gold in your shamba..why not build big companies like us?