Nairobi vs Mwanza

Nairobi vs Mwanza

Pole una washabikia mabepari eti? Ukiona wanapiga kelele jua kende zao zimebanwa, najua wanaifagilia Kenya maana 1/4 ya ardhi yenu wanaimiliki wakati maskini wazalendo wa nchi hawana pa kulima, elite wameshika uchumi, hongereni. Acha sisi twende na Jpm kwa ulinzi wa rasilimali, hatutatishwa na kelele za wanyonyaji acha wamuite majina yote hatutajali.

Hakuna ukoloni mzuri kama kuteka akili ya Mwafrika hasa anaejiona nae ni mzungu, poleni wakenya itawachukua mia mia kujua mzungu sio rafiki hasa kama hata benefit na rasilimali zako utakutana na propaganda za kufa mtu, hatuogopi tutasonga, mkitaka kugeuka mawe ninyi keukeni.
 
Hakuna ukoloni mzuri kama kuteka akili ya Mwafrika hasa anaejiona na ni mzungu, poleni wakenya itawachukua mia mia kujua mzungu sio rafiki hasa kama hata benefit na rasilimali zako utakutana na propaganda za kufa mtu, hatuogopi tutasonga, mkitaka kukeuka mawe ninyi keukeni.
Nawarabu na wahindi Jeh? we are the richest in your country by far... u others only want free money to collect gold in your shamba..why not build big companies like us?
 
Pole una washabikia mabepari eti? Ukiona wanapiga kelele jua kende zao zimebanwa, najua wanaifagilia Kenya maana 1/4 ya ardhi yenu wanaimiliki wakati maskini wazalendo wa nchi hawana pa kulima, elite wameshika uchumi, hongereni. Acha sisi twende na Jpm kwa ulinzi wa rasilimali, hatutatishwa na kelele za wanyonyaji acha wamuite majina yote hatutajali.

Hakuna ukoloni mzuri kama kuteka akili ya Mwafrika hasa anaejiona nae ni mzungu, poleni wakenya itawachukua mia mia kujua mzungu sio rafiki hasa kama hata benefit na rasilimali zako utakutana na propaganda za kufa mtu, hatuogopi tutasonga, mkitaka kugeuka mawe ninyi keukeni.
Rich Gulf Arabs using Tanzania as a playground? Someone opened the gate | Nesrine Malik
 
Nawarabu na wahindi Jeh? we are the richest in your country by far... u others only want free money to collect gold in your shamba..why not build big companies like us?
Ndg jivunie utajiri wa makaratasi wakati wakenya wanakufa njaa, umaskini umetamalaki, wakikusikia wenzio wa kaskazini na slams za nai na miji mingine hakika utatoswa baharini kwa usaliti kwa kushabikia mali za wachache wakati majority hawana ata pa kulima achilia mbali kiwanja cha kujenga hata vibanda.
 
Pole una washabikia mabepari eti? Ukiona wanapiga kelele jua kende zao zimebanwa, najua wanaifagilia Kenya maana 1/4 ya ardhi yenu wanaimiliki wakati maskini wazalendo wa nchi hawana pa kulima, elite wameshika uchumi, hongereni. Acha sisi twende na Jpm kwa ulinzi wa rasilimali, hatutatishwa na kelele za wanyonyaji acha wamuite majina yote hatutajali.

Hakuna ukoloni mzuri kama kuteka akili ya Mwafrika hasa anaejiona nae ni mzungu, poleni wakenya itawachukua mia mia kujua mzungu sio rafiki hasa kama hata benefit na rasilimali zako utakutana na propaganda za kufa mtu, hatuogopi tutasonga, mkitaka kugeuka mawe ninyi keukeni.
Wajue kwamba mti wenye matunda mazuri ndiyo hupigwa mawe. JPM wewe songa mbele.
 
Mtoa mada acha upuuz
Wa kuifananisha Nairobi
Na vtu vya kipuuz
 
ukiacha swala la kujidhalilisha ww mwenyewe kifikira,pia umewadharau wakenya wenzio!.kwa mnyumbulisho zaidi wa uzi wako ni kuwa Mwanza ni zaidi ya au inakaribiana na Nairobi.
 
Nawarabu na wahindi Jeh? we are the richest in your country by far... u others only want free money to collect gold in your shamba..why not build big companies like us?
You are the richest wakati wewe jobless. Huyu jamaa jobless kiufupi ni baby mama
 
Huyu jamaa amekili kuwa yuko unemployed. Yupo hapo Kenya kama muarabu anavyodai. Mwanzo alijulikana kama Nikstan 254
Screenshot_20180320-180854.png
 
Back
Top Bottom