TRA Tanzania
Senior Member
- Jul 16, 2022
- 128
- 370
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Mwenda ameshiriki kikao cha Makamishna Wakuu wa Mamlaka za Mapato za Afrika Mashariki kinacho endelea mjini Nairobi Kenya.
Makamishna Wakuu hao wamekutana kwa lengo la kubadilishana uzoefu na kuondoa vikwazo katika ukusanyaji wa mapato pamoja na kutatua changamoto zinazofanana zinazozikabili Mamlaka hizo kwa pamoja.