We BUCHANGANDE! nasubiri maelekezo ya professionals! bado hawajajitokeza wataalamu watujuze nilchouliza!!! we unaishia kuponda tu kituambacho sio sahihi.... it is a learning we are gaining here, camoon give me a break! let those who know the matter contribute it please. Wakati mwingine tujaribu kuwa serious basi... kama hujui unalochangia soma thread na uchape mwendo kuna vichwa vlivyokaa darasani watupe mambo hapa. Watanzania tutaelimika lini jamani? JF ni kwa ajili ya kujifunza na kushirikishana mawazo ya msingi, kama mtu unaichukulia sehemu ya kupiga vjembe na mbwembwe za hapa na pale pole sana na hutosaidika kwa lolote. message sent kwa wale wenye mtizamo kama wa BUCHANAGANDE.