Mlasani
Senior Member
- Nov 29, 2012
- 113
- 28
Ni kweli eti kwamba vipimo tulivyo navyo mahospitalini vinatofautiana kiuhalisia kama inavosemekana. Kwa mfano inasemekana kuna HIV determiner yenyewe inadetect HIV after two weeks; kuna nyingine inachukua 3 moths na kuna bab kubwa APR.... kama sikukosea yenyewe hata baada ya siku moja au masaa kadhaa inakuonesha matokeo. Natumaini JF kuna madoctor pia inapendeza watujuze na sie tufahamu hili suala zima la HIV test! Nice moment to you all brothers and sisters!
NB: Kumbuka kinachoulizwa ni muda ambao HIV inaweza kuwa detected after the infections!
NB: Kumbuka kinachoulizwa ni muda ambao HIV inaweza kuwa detected after the infections!