Nairudisha mada jamvini itendewe haki!

Nairudisha mada jamvini itendewe haki!

Mlasani

Senior Member
Joined
Nov 29, 2012
Posts
113
Reaction score
28
Ni kweli eti kwamba vipimo tulivyo navyo mahospitalini vinatofautiana kiuhalisia kama inavosemekana. Kwa mfano inasemekana kuna HIV determiner yenyewe inadetect HIV after two weeks; kuna nyingine inachukua 3 moths na kuna bab kubwa APR.... kama sikukosea yenyewe hata baada ya siku moja au masaa kadhaa inakuonesha matokeo. Natumaini JF kuna madoctor pia inapendeza watujuze na sie tufahamu hili suala zima la HIV test! Nice moment to you all brothers and sisters!

NB: Kumbuka kinachoulizwa ni muda ambao HIV inaweza kuwa detected after the infections!
 
Nani unataka aitendee haki? Wakati ulisha shauriwa vya kutosha. Au tayari una grid ya taifa?
Kumbuka, ukipanda upepo utavuna tufani.
 
We BUCHANGANDE! nasubiri maelekezo ya professionals! bado hawajajitokeza wataalamu watujuze nilchouliza!!! we unaishia kuponda tu kituambacho sio sahihi.... it is a learning we are gaining here, camoon give me a break! let those who know the matter contribute it please. Wakati mwingine tujaribu kuwa serious basi... kama hujui unalochangia soma thread na uchape mwendo kuna vichwa vlivyokaa darasani watupe mambo hapa. Watanzania tutaelimika lini jamani? JF ni kwa ajili ya kujifunza na kushirikishana mawazo ya msingi, kama mtu unaichukulia sehemu ya kupiga vjembe na mbwembwe za hapa na pale pole sana na hutosaidika kwa lolote. message sent kwa wale wenye mtizamo kama wa BUCHANAGANDE.
 
Ishu sio kifaa bali uwezo wa Immune ya mtu kuresist detection ya Virus kabla hawajaje multiply (replication). Kuna period kwa kitaalamu inaitwa (....pause) kipindi ambacho virus hawajaji multiply hadi pale wanajimultply. Hicho kipindi kina kuwa kati ya Wiki moj mpaka miezi mitatu so itategemea na Uwezo wa kinga ya mwili kummudu virus asijezalishe mapema ama la.
 
Mwenye kipimo cha ngoma jaman namuomba
 
Back
Top Bottom