Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Sisi Wakatoliki siyo nyumbu kama wanachadema hatuwezi kuandamana eti kwa sababu Padri Kitima kapigwa. Kama anamatatizo yake na watz wanaomzunguka?Baada ya hapo, ni wazi watamlenga Rais wa TEC Wolfgang!!
Mkikaa kimya, Wahuni watautangaza uongo wao uwe mkubwa sanaaa ili Jamii iuamin ionekane kua 'Alikua kalewa '.
Niwashauri TEC , kabla suala hili halijapoa, itisheni Maandamano ya Amani Kwa Waumini wenu Nchi nzima.
Mimi ni Mkatoliki na SITAANDAMANA!Baada ya hapo, ni wazi watamlenga Rais wa TEC Wolfgang!!
Mkikaa kimya, Wahuni watautangaza uongo wao uwe mkubwa sanaaa ili Jamii iuamin ionekane kua 'Alikua kalewa '.
Niwashauri TEC , kabla suala hili halijapoa, itisheni Maandamano ya Amani Kwa Waumini wenu Nchi nzima.
Sisi Wakatoliki siyo nyumbu kama wanachadema hatuwezi kuandamana eti kwa sababu Padri Kitima kapigwa. Kama anamatatizo yake na watz wanaomzunguka?
Mapadri wengine wanachukua wake za watu, wanastahiri kupata vichapo vya mbwa koko.
Labda nyumbu ambao huwa wanafuata mkumbo tu!Tunasubiri maelekezo....ya kanisa na vita ni wakilristu woote bila kujali dhehebu dhidi udhalimu wa chura kiziwi na umwagaji damu wake...atawale kwa damuui.....kura za waumini woote wa kristu hapatiiii
Wewe ni Mkatoliki aina ya Akina Makonda tuSisi Wakatoliki siyo nyumbu kama wanachadema hatuwezi kuandamana eti kwa sababu Padri Kitima kapigwa. Kama anamatatizo yake na watz wanaomzunguka?
Mapadri wengine wanachukua wake za watu, wanastahiri kupata vichapo vya mbwa koko.
FUTA HII < SI KWELIBaada ya hapo, ni wazi watamlenga Rais wa TEC Wolfgang!!
Mkikaa kimya, Wahuni watautangaza uongo wao uwe mkubwa sanaaa ili Jamii iuamin ionekane kua 'Alikua kalewa '.
Niwashauri TEC , kabla suala hili halijapoa, itisheni Maandamano ya Amani Kwa Waumini wenu Nchi nzima.
Hakika MkuuHata siku moja hawawezi kufanya hivyo ila wamemrahisishia sana TAL na ajenda zake za reforms kueleweka duniani.
Na ile wazo la wanaharakati la kwenda ICC limepewa milage na kudhuriwa kwa PHD. Charles Kitima
Your mother, she is indeed a fucking idiot!!