Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
- Thread starter
- #21
JARIBIO la mauaji limefanyws Kwa Kiongozi sio tu Mtanzania ,ninkongozi wa Mamilioni ya watu haipaswi kupita kimyaKwahio issue ni against wakristo na sio mtanzania kama mtanzania mwingine ambavyo anaweza kupigwa ?
Kila siku nasema politicizing issues ni kuzi dilute, hili likimewe na kila mtanzania kama vile yoyote ambavyo akifanyiwa ndivyo sivyo kila mtu akemee na sio kuanza kutenga tenga watu wa kulaani vitendo, huko ni kutoana kwenye reli na mwendelezo wa divide and rule...