Naishauri TEC ifanye maandamano ya amani kupinga kilichotokea kwa Fr. Kitima

Ndio pale kuna grocery wadau wameshasema humu JF
Kwa hivyo ni kweli kwamba father kitima ni mlev kama Jeshi la Polisi Kanda Maarum ya Dar es Salaam lilivyodai
 
SIdhani kama limesema ni mlevi bali limesema alikuwa anakunywa!
 
JARIBIO la mauaji limefanyws Kwa Kiongozi sio tu Mtanzania ,ninkongozi wa Mamilioni ya watu haipaswi kupita kimya
Haipaswi kupita kimya kwa yoyote yule tena zaidi kwa wale watu wa kawaida ambao hawana watu wa kuwasemea; Hizi mentality za kuacha wakati wengine wanapatwa na haya sababu ni wa kawaida ndio yanatufikisha pana na kuwagawa raia.

Kila raia ana haki sawa katika nchi yake kama mtanzania (na sio raia tu kila binadamu hata kama ni mgeni)
 
Hii kick imebuma, Yani serikani na vyombo vyake vyote ikusudie kumdhuru Kitima halafu ifanye shambulizi la kike kama hilo?

Nadhani kwa kujua au kutojua Kitima na Katoliki wametumiwa na watafuta mileage!

Hakuna muda ambako Kitima aliibana serikani kama wakati ule wa uwekezaji na hakuna aliyewaza kufanya chochote kibaya dhidi yake!
 
Sisi Wakatoliki siyo nyumbu kama wanachadema hatuwezi kuandamana eti kwa sababu Padri Kitima kapigwa. Kama anamatatizo yake na watz wanaomzunguka?

Mapadri wengine wanachukua wake za watu, wanastahiri kupata vichapo vya mbwa koko.
Mke mmoja tu achukuliwe uua mtu wakati peponi utapewa wanawake mabikra 70.
Na mito ya pombe juu. ,yaani unaogelea kwenye pombe
 
Hii kick imebuma, Yani serikani na vyombo vyake vyote ikusudie kumdhuru Kitima halafu ifanye shambulizi la kike kama hilo?

Nadhani kwa kujua au kutojua Kitima na Katoliki wametumiwa na watafuta mileage!

Hakuna muda ambako Kitima aliibana serikani kama wakati ule wa uwekezaji na hakuna aliyewaza kufanya chochote kibaya dhidi yake!
Hata Shambulizi la LISSU, baada ya Mungu kusimamia , mlisema Serikali haiwez fanya shambulio la Kike.
 
Sisi Wakatoliki siyo nyumbu kama wanachadema hatuwezi kuandamana eti kwa sababu Padri Kitima kapigwa. Kama anamatatizo yake na watz wanaomzunguka?

Mapadri wengine wanachukua wake za watu, wanastahiri kupata vichapo vya mbwa koko.
Kwa hiki ulichoandika wewe ni nyumbu proMax, ni kwa sababu hujitambui tuu...
 
watasema sio mtu wao🤣🤣🤣.
waweke picha ya mtuhumiwa tutajua wa kwao au sio wa kwao
 
Sisi Wakatoliki siyo nyumbu kama wanachadema hatuwezi kuandamana eti kwa sababu Padri Kitima kapigwa. Kama anamatatizo yake na watz wanaomzunguka?

Mapadri wengine wanachukua wake za watu, wanastahiri kupata vichapo vya mbwa koko.
St list umewaza nje ya box au baba lilikuangusha s u ajua aliteleza na mvua hii cc mbowe alikael
 
Back
Top Bottom