Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
- Thread starter
-
- #21
JARIBIO la mauaji limefanyws Kwa Kiongozi sio tu Mtanzania ,ninkongozi wa Mamilioni ya watu haipaswi kupita kimyaKwahio issue ni against wakristo na sio mtanzania kama mtanzania mwingine ambavyo anaweza kupigwa ?
Kila siku nasema politicizing issues ni kuzi dilute, hili likimewe na kila mtanzania kama vile yoyote ambavyo akifanyiwa ndivyo sivyo kila mtu akemee na sio kuanza kutenga tenga watu wa kulaani vitendo, huko ni kutoana kwenye reli na mwendelezo wa divide and rule...
Mimi piaa hata kama sio RC ila nitahakikisha natia Miguu kwaajili ya haya.Nitashiriki maandamano yatakayoandaliwa na Kanisa.
Wahamasishe watu (waumini wa kikristu) wasiende kupiga kuraTunasubiri maelekezo....ya kanisa na vita ni wakilristu woote bila kujali dhehebu dhidi udhalimu wa chura kiziwi na umwagaji damu wake...atawale kwa damuui.....kura za waumini woote wa kristu hapatiiii
๐๐๐Kanisa hawafanyagi moves za hivi. Watakupiga msako wa kimya kimya hadi unatema bungo.
Vita hii ni ya wakirstu wote bila kujalisha Dhehebu, pamoja na waislam wanaopinga Udhalimu .Tunasubiri maelekezo....ya kanisa na vita ni wakilristu woote bila kujali dhehebu dhidi udhalimu wa chura kiziwi na umwagaji damu wake...atawale kwa damuui.....kura za waumini woote wa kristu hapatiiii
Kwa taarifa yako siyo mkatoliki tu tena mseminari kabisa! Mimi siyo nyumbu wakupelekwa tu na wanasiasa, najitambua.Wewe ni Mkatoliki aina ya Akina Makonda tu
Watz wamewakataa sasa mmeanza kuketa udini!! Nyumbu shida sana.Vita hii ni ya wakirstu wote bila kujalisha Dhehebu, pamoja na waislam wanaopinga Udhalimu .
Mseminari wa nanjilinji hukoKwa taarifa yako siyo mkatoliki tu tena mseminari kabisa! Mimi siyo nyumbu wakupelekwa tu na wanasiasa, najitambua.
Punguani wewe, watanzania wamewakataa Akina nani?Watz wamewakataa sasa mmeanza kuketa udini!! Nyumbu shida sana.
Wewe mpumbavu kweli, unapenda maandamano eee, acha ushabiki wa kijinga, tafuta kazi ufanye kuliko kuongea maneno ya uwani kijana.Baada ya hapo, ni wazi watamlenga Rais wa TEC Wolfgang!!
Mkikaa kimya, Wahuni watautangaza uongo wao uwe mkubwa sanaaa ili Jamii iuamin ionekane kua 'Alikua kalewa '.
Niwashauri TEC , kabla suala hili halijapoa, itisheni Maandamano ya Amani Kwa Waumini wenu Nchi nzima.
Punguani mkubwa wewe, Nina kazi nayolipwa Kwa Dola !!Wewe mpumbavu kweli, unapenda maandamano eee, acha ushabiki wa kijinga, tafuta kazi ufanye kuliko kuongea maneno ya uwani kijana.
Kumbe unajua nyumbu!!?Mseminari wa nanjilinji huko
Kwa hiyo ukilipwa kwa dola ndio unajiona wa maana!! Slavery mentality inakusumbua wewe nyumbu!Punguani mkubwa wewe, Nina kazi nayolipwa Kwa Dola !!
Maandamano yanatambulika Hadi kwenye Katiba.
Mjinga mkubwa wee
Kwani uliwaona pale Kisutu?Punguani wewe, watanzania wamewakataa Akina nani?
Wauaji nyie, hamna hata aibu
๐ฎ๐ฎ Jamii kwa upana wake ni muhimu zaidi kuliko umuhimu wa mtu mmja.Baada ya hapo, ni wazi watamlenga Rais wa TEC Wolfgang!!
Mkikaa kimya, Wahuni watautangaza uongo wao uwe mkubwa sanaaa ili Jamii iuamin ionekane kua 'Alikua kalewa '.
Niwashauri TEC , kabla suala hili halijapoa, itisheni Maandamano ya Amani Kwa Waumini wenu Nchi nzima.
Ndio pale kuna grocery wadau wameshasema humu JFJeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linasema alikuwa anakunywa kinywaji
maandamano ya amani hayawezi kuwana tija sana kwa watu vichwa maji kama kina muliro. hapa ni tuambiwe aliye shambulia ni dini gani ili tughughlike na waumii wa hiyo dini. JINO MOJA KWA MENO 10 ๐ ๐ ๐Baada ya hapo, ni wazi watamlenga Rais wa TEC Wolfgang!!
Mkikaa kimya, Wahuni watautangaza uongo wao uwe mkubwa sanaaa ili Jamii iuamin ionekane kua 'Alikua kalewa '.
Niwashauri TEC , kabla suala hili halijapoa, itisheni Maandamano ya Amani Kwa Waumini wenu Nchi nzima.