Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Sasa ndugu siwajui na yeye alikua anasema ni Siri anataka awafanyie supriseAcha wizi mkuu fikiria alojenga Ana watoto kwanin uchukue mali si yako
Ndy ushajipatia nyumba ya demo.. 😄Naomba muongozo wakuu
Mimi naona nimeokota sababu niliizindua mimi na yeye alikuja mara moja baada ya Mimi kuhamia nikasikia kafariki baada ya kupata taarifa kutoka Kwa maboss wenzieHapo mbezi yupo mmoja hivyo hivyo, na aliishachukulia kama kaokota nyumba.
Baada ya miaka mingi walijitokeza ndugu,
SawaChai
we dogo wa bajaj hailipi, tafuta nyumba yako acha wizi na vya bure mjini hapa, ukiitwa mpumbavu?Wakuu naishi kwenye nyumba ya kupanga na familia yangu yanye vyumba vinne mwenye nyumba alikufa ghafla mwezi wa 4 mpaka Leo mwezi wa 12 nakaa bure naona kama nimeokota nyumba ya bure na ndugu hawaijui hii nyumba alikua anafanya Siri sababu ni mpya imezinduliwa mwaka huu naomba muongozo jinsi ya kupata hati miliki ya hii nyumba wakuu
Akili imekuruka?we dogo wa bajaj hailipi, tafuta nyumba yako acha wizi na vya bure mjini hapa, ukiitwa mpumbavu?
SawaChai sasa hii jana zilitrend story za aina hio
Hao waliokuletea taarifa kuwa Ndugu wameshagawana mali, waombe wakuoneshe hao ndugu..Sasa ndugu siwajui na yeye alikua anasema ni Siri anataka awafanyie suprise
Wanaokoteza stori za Instagram uko wanatufanya sisi watoto wadogo 😃Chai
Niondoke nimuachie nani nyumba na hamna wa kumuachiaTatizo siyo nyumba, tatzo ni ardhi ina hati?
Hati ipo kwenye jina la nani
Mkataba wako unaisha lini?
Ukiisha ondoka.
hizo habari za kua ndugu washagawana mali zote ila hii hawaijui ulizipata wapi? huyo aliekupa ndo akuonyeshe ndugu zake, tena asikuoeshe ndugu zake, akuoneshe watoto wa huyo marehemu kama alikua nao uwakabidhi, au mkewe umpatieSasa ndugu siwajui na yeye alikua anasema ni Siri anataka awafanyie suprise
Tafuta jamaa zako Ardhi jichukulue nyumba wakija kushtuka tumia signature za nyuma utengeneze mkataba wa mauziano na marehemu, hata wakimfukua hawezi kusema hakukuuzia ila wakikuloga shauri yako.Wakuu naishi kwenye nyumba ya kupanga na familia yangu yanye vyumba vinne mwenye nyumba alifariki ghafla mwezi wa 4 mpaka Leo mwezi wa 12 nakaa bure naona kama hii ni bahati kutoka Kwa mungu nyumba ya bure sababu nilisikia fununu ndugu wameshagawana Mali zake ila hii hawaijui hii nyumba alikua anafanya Siri sababu ni mpya imezinduliwa mwaka huu naomba muongozo jinsi ya kupata hati miliki ya hii nyumba wakuu
Sawa mkuu nitafanya hivyoTafuta jamaa zako Ardhi jichukulue nyumba wakija kushtuka tumia signature za nyuma utengeneze mkataba wa mauziano na marehemu.