Naishi kwenye Nyumba ya kupanga mwenye nyumba alifariki ghafla na ndugu hawaijui hii nyumba

Haiez tokea kwamba hakuna hata jamaa yake anaijua. Lazima Kuna jamaa Ake wanalewa wote ashampa hiyo Siri. Afu acha ujinga walopenda slope wote p Diddy kapita nao.
 
Kumbe ni C&P
IMG-20241211-WA0058.jpg
IMG-20241211-WA0058.jpg
IMG-20241211-WA0058.jpg
 
Wakuu naishi kwenye nyumba ya kupanga na familia yangu yenye vyumba vinne na Kila kitu quality kuanzia aluminum mpaka tiles nyumba ni nzuri sana mwenye nyumba alifariki ghafla mwezi wa 4 mpaka Leo mwezi wa 12 nakaa bure naona kama hii ni bahati kutoka Kwa mungu nyumba ya bure sababu nilisikia fununu ndugu wameshagawana Mali zake ila hii hawaijui hii nyumba alikua anafanya Siri sababu ni mpya imezinduliwa mwaka huu naomba muongozo jinsi ya kupata hati miliki ya hii nyumba wakuu
Chai! Chai! Kadanganye wanywa kangale! Huo uzinduzi ulifanyikaje hili hali mwenyewe aliifanya kuwa siri! Waliohusika kuizundua ni akina nani?
 
Ila Matapeli wa hivyo wapo sana! Wanajimilikisha mali isiyokua yao bila uwoga kisa tu wana pesa ya kuhonga kwenye mifumo ya utowaji haki!!
 
Wakuu naishi kwenye nyumba ya kupanga na familia yangu yenye vyumba vinne na Kila kitu quality kuanzia aluminum mpaka tiles nyumba ni nzuri sana mwenye nyumba alifariki ghafla mwezi wa 4 mpaka Leo mwezi wa 12 nakaa bure naona kama hii ni bahati kutoka Kwa mungu nyumba ya bure sababu nilisikia fununu ndugu wameshagawana Mali zake ila hii hawaijui hii nyumba alikua anafanya Siri sababu ni mpya imezinduliwa mwaka huu naomba muongozo jinsi ya kupata hati miliki ya hii nyumba wakuu
Mkeo alipata mchepuko familia ya marehemu itaibuka?
 
Uongo tuu, kwa hiyo hati ya kiwanja unazo bdani kwako mxiiiu wizi tuuu.
Kujimilikisha nyumba ya marehemu siyo kitu rahisi kama wengi wanavyo fikiri,eti kufoji sign ya marehemu, kwa taarifa yenu wale wote mnaopenda kufanya forgery kuna kitengo cha forensic ndani ya Jeshi la Polisi kazi yake ni kuchunguza hizo forgery kisayansi! Na Sayansi haiongopi!!
 
Back
Top Bottom