Naishi na Mwanaume, tatizo nikimgusia suala la ndoa anadai nisubiri hayuko tayari kwa sasa

Nadhani niheshimu mtizamo wako ya kuwa tunamuonea wivu😂😂 hatufanani mtizamo, Kuna kukubaliana na kukinzana✌️
Lakini mna wivu aiseee,,,,ushauri sio wa kulazimisha na kusimanga kama hvo
Au wewe unasemaje ?
 
Labda nikuulize unafahamiana na ndugu zake wa karibu labda kaka ,dada au hata wazazi wake?
 
Lakini mna wivu aiseee,,,,ushauri sio wa kulazimisha na kusimanga kama hvo
Au wewe unasemaje ?

Hapo unakuta wanakazi ya kuomba bundle kwa wanaume[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na vibomu vya hapa na pale

Kuna mmoja angalia mada zake alizochangia nyingi kacomment Njoo Kuna madanga sijui mabwana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38]
 

Na kwa taarifa yao fupi tu SIMUACHI SIONDOKI[emoji41] bado nipo nae sana hadi aniache YEYE[emoji4]
 
Teh mimi binafsi sijamwambia aondoke..ila hata waliomwambia ni sawa tu hakuna wivu hapo wengine wanaongea kwa experience zao soooo excuse me
 
Wewe ndio unaona mnaendana kwa 99.9%, ila yeye angekuwa na hizo asilimia, sasa hivi ungekuwa mke wake.
 
Pisi kali vipi ulishawahi kumwambia akajitambulishe tu home na kulipa mahari?

Kama bado mshawishi akajitambulishe na kulipa mahari. Kuhusu ndoa utulie wala usiiulizie ilimradi wewe umerdhika na anavyokutendea na hauna mpango wa kumuacha haina haja ya kujiumiza kuwaza tena.

Kuhusu kuzini sijui nini inabidi sasa uwaze wewe Je unayapenda hayo mahusiano kuliko dini yako ? Kama ni hivyo tulia kula maisha ndoa atakujaga tu.Na inaonekana mumeo ni muislam ila hana hofu ya mungu ndio maana haoni tatizo sanaa kukaa bila ndoa na kufunga huku mwaishi pamoja.
 
Ndoa huwa haiombwi wala kukumbushiwakumbushiwa. Wanaume tuna busara sana na Mwanaume mwenyewe huwa anapagawa na vituz na unashangaa keshafika kwenu.

Well, labda haya ni mawazo ya mzee mimi na haiko hivi sasa kwenye kizazi cha Instagram, Snapchat & TikTok.
 
Na kwa taarifa yao fupi tu SIMUACHI SIONDOKI[emoji41] bado nipo nae sana hadi aniache YEYE[emoji4]
Komaa hapo hapo dada usitoe mguu. Kuna watu wana comment humu unaona kabisa wana gubu. Kuna wengine wanatafuta hata wakuwaweka ndani hawapati.kikubwa heshima na uaminifu mengine majaliwa
 
Labda Kupetiwa petiwa anakofanyiwa kuandikishwa mali,,,,mbona mimi nikiona msela anapetiwa petiwa vizuri na manzi ake roho inaniuma qwanini isikuume na wewe kwa upande wako qwa mwanamke mwenzio ? Una roho ya sementi ?
Key point 'UKIONA'

Sasa humu tunaonana? Anyone can brag about anything..kama mimi nimeandikishwa viwanja vi3 tofauti na nyumba tunayoishi ina jina langu na nimeagiziwa gari Japan inakuja. Kubwa kuliko nimelipiwa mahari nimeolewa na nina furaha.

Let that sink in.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…