missyrose
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 3,014
- 7,361
Aisee..kwa hiyo tumekua mbwa?Nimesoma hii mada yite tangu saa tatu,,,,,Nasemaje Wanawake acheni kuoneana wivu mbwa nyie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee..kwa hiyo tumekua mbwa?Nimesoma hii mada yite tangu saa tatu,,,,,Nasemaje Wanawake acheni kuoneana wivu mbwa nyie
Dah fresh..yote maishaSiku moja moja ukiwa mbwa sio mbaya.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kumuonea wivu 'anonymous' nadhani Ni matumizi mabaya ya wivu😂😂Aisee..kwa hiyo tumekua mbwa?
Mama wa kiroho anaetoa middle finger ?
Lakini mna wivu aiseee,,,,ushauri sio wa kulazimisha na kusimanga kama hvo
Au wewe unasemaje ?
Niko hapa mama wa kiroho😂😂😂 hii imekaa vizuri nimeipenda sanaMama wa kiroho anaetoa middle finger ?
Wivu kwa lipi labda ndugu..[emoji3][emoji3]Lakini mna wivu aiseee,,,,ushauri sio wa kulazimisha na kusimanga kama hvo
Au wewe unasemaje ?
Hakika..Kumuonea wivu 'anonymous' nadhani Ni matumizi mabaya ya wivu[emoji23][emoji23]
Lakini mna wivu aiseee,,,,ushauri sio wa kulazimisha na kusimanga kama hvo
Au wewe unasemaje ?
Kwa mfano angekuja na Mada hii hii lakini kwa maelezo toafuti,,,,,angesema AMEMUACHA MCHUMBA LAKINI AMEPEWA KILA KITU NYUMBA, GARI NA BIASHARA,,,,si mngemuona mjinga ninyi tena fara kabisa,,,,,lakini imewekwa kitofaut kidogo imewauma,,,,suala hapo AFANYE NINI AIPATE NDOA,,,,sio kurahisisha mambo mseme kuachana [emoji23][emoji23][emoji23]
Teh mimi binafsi sijamwambia aondoke..ila hata waliomwambia ni sawa tu hakuna wivu hapo wengine wanaongea kwa experience zao soooo excuse meKwa mfano angekuja na Mada hii hii lakini kwa maelezo toafuti,,,,,angesema AMEMUACHA MCHUMBA LAKINI AMEPEWA KILA KITU NYUMBA, GARI NA BIASHARA,,,,si mngemuona mjinga ninyi tena fara kabisa,,,,,lakini imewekwa kitofaut kidogo imewauma,,,,suala hapo AFANYE NINI AIPATE NDOA,,,,sio kurahisisha mambo mseme kuachana [emoji23][emoji23][emoji23]
Unamaanisha mleta mada anaminyoo au kichocho?WATANZANIA MILIONI 22 WANA MINYOO NA KICHOCHO. KANDA YA ZIWA YAONGOZA
Ukubwa wa tatizo kwa Kanda ya Ziwa unasababishwa na Jiografia yake ya kuwa na Maji mengi
Watu Bilioni 2 Duniani wameathiriwa na Minyoo huku 155,000 wakifariki kila mwaka
Soma - Watanzania takriban milioni 22 sawa na asilimia 52 wanaugua ugonjwa wa kichocho na minyoo ya tumbo
#JFLeo
Wewe ndio unaona mnaendana kwa 99.9%, ila yeye angekuwa na hizo asilimia, sasa hivi ungekuwa mke wake.Itakua kweli hanipendi mimi pia nawaza hilo
Lakini sasa wanaume wote wanakasoro yeye kasoro yake ndio hiyo hataki kunioa naogopa nisije nikaolewa na mtu ambaye hatuendani vitu vingi huyu 99.9% vyote tunaendana tatizo ni hilo tu hayuko tayari na ananiambia kabisa sipo tayari kwasasa but i’ll marry you
Komaa hapo hapo dada usitoe mguu. Kuna watu wana comment humu unaona kabisa wana gubu. Kuna wengine wanatafuta hata wakuwaweka ndani hawapati.kikubwa heshima na uaminifu mengine majaliwaNa kwa taarifa yao fupi tu SIMUACHI SIONDOKI[emoji41] bado nipo nae sana hadi aniache YEYE[emoji4]
Key point 'UKIONA'Labda Kupetiwa petiwa anakofanyiwa kuandikishwa mali,,,,mbona mimi nikiona msela anapetiwa petiwa vizuri na manzi ake roho inaniuma qwanini isikuume na wewe kwa upande wako qwa mwanamke mwenzio ? Una roho ya sementi ?