Naishi na Mwanaume, tatizo nikimgusia suala la ndoa anadai nisubiri hayuko tayari kwa sasa

Komaa hapo hapo dada usitoe mguu. Kuna watu wana comment humu unaona kabisa wana gubu. Kuna wengine wanatafuta hata wakuwaweka ndani hawapati.kikubwa heshima na uaminifu mengine majaliwa

Wanajifariji na stress zao za maisha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] siondoki hata kwa trekta bado nipo nipo SANAAAA na Ndio kwanzaaaaa nazidisha mahaba miguu juu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Labda una dharau ila papuchi nzuri..Mwanaume na dharau vitu mbali mbali So anakula kwanza papuchi huku akiendelea kuangalia angalia kanakomvutia tabia huko nje.
 

Asante kwa ushauri[emoji122][emoji122] napendwa hadi mwenyewe najua napendwa sana[emoji1362]
 
Sasa mkisema hivi mna limit watu kutoa mawazo yao while hii ni public forum. Kila mtu ana mawazo yake na yakitofautiana na matarajio yako(au ya mtoa mada) haina maana anaonewa wivu.

Sirudi tena kwenye hii thread aisee.
 
Kwani kwa kusoma unakua huoni ?
Si inakua "UKIONA" meseji au [emoji23][emoji23][emoji23]

Sawaa hongera sana,,,,Haya sasa uende mshike mkono mwenzio Pisi kali afikie level kama yako ya Ndoa na sio kushabikia komenti za kuachana,,,,understand ? ?
Bye
 

Kwetu anajulikana na baada ya kufariki mtoto kuna faini alilipishwa akalipa

Mahari bado anasema tusubiri atatuma watu waende nisiwe na haraka
 

Na wala maisha ya watu kiuhalisia hayajui ni hisia zake zimemtuma aone hivyo
 
Teh mimi binafsi sijamwambia aondoke..ila hata waliomwambia ni sawa tu hakuna wivu hapo wengine wanaongea kwa experience zao soooo excuse me

Ushasema experience zao na sio yangu[emoji1362] na wapo wenye experience kama yangu at the end they are just happy with their lives[emoji18]hii ni chapter yangu itakapoishia ndio itakua experience yngu
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa hapo utataka mashindano na wala Sipo kwaajili ya mashindano kuna watu wamepata zaidi ya nilivyovipata na wapo ambao hawajapata ya robo ya nilivyovipata[emoji4][emoji4]

Hata hadi kusema sikutaka kusema[emoji1362]
 
Sasa mkisema hivi mna limit watu kutoa mawazo yao while hii ni public forum. Kila mtu ana mawazo yake na yakitofautiana na matarajio yako(au ya mtoa mada) haina maana anaonewa wivu.

Sirudi tena kwenye hii thread aisee.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndio hivyo basi SIONDOKI SIMUACHI Ndio kwanzaaa nazidi kushikilia msukani
 
Labda una dharau ila papuchi nzuri..Mwanaume na dharau vitu mbali mbali So anakula kwanza papuchi huku akiendelea kuangalia angalia kanakomvutia tabia huko nje.

Inawezekana pia
 
Nae yupo humu pia
 

Level gani? Ya wivu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ye aendelee kushadadia comment tu hapa
 
....mwenyewe alinambia kama naona ananichelewesha basi anipe nafasi ndani ya muda fulani ikiwa bado sijaipata hiyo ndoa turudiane.
Kusoma hujui, picha ukutani huzioni?!

Kama unavyomuona anaongea hayo akiwa serious, basi hakuna upendo hapo bali huenda anashindwa tu jinsi ya kukutupia virago au anahitaji service zako za ndani ya nyumba kama vile mapishi, usafi, n.k!! Na kama ni mtu wa safari, atakuwa bado anahitaji service yako ya "ulinzi" wa nyumba!!

Hivi mtu anaanzaje kukuambia kama shida yako ni ndoa basi nakuruhusu kajaribu bahati yako somewhere else, na usipobahatika mtarudiana?!

Hivi kauli kama hiyo ina tofauti gani na kukuambia nakuruhusu kawe na boyfriend mwingine na mkishindwana mtarudiana huku akijua kabisa mahusiano ya siku ni lazima mgegedane hata kabla ya ndoa?

Kwahiyo, he don't care hata ukienda kutoa tunda kwingine katika kujaribu kutafuta ndoa!! Sounds like unamtegemea kwa kila kitu na kwahiyo anaona mahitaji yako ni kama kelele za chura!!
 
Hivi bila hiyo ndoa maisha yenu hayaendi?

Tuachege kukumbatia ukoloni
 
Kuwa na furaha Hilo ndo la muhimu mengineyo yanatafutwa, hongera
 
Njoo uishi na Mimi uone kama miezi sta itapita bila kutangaza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…