Naishi na Mwanaume, tatizo nikimgusia suala la ndoa anadai nisubiri hayuko tayari kwa sasa

Akishakuzeesha ndo utajutia uamuzi wako. Jibu unalo wewe ila hutaki kulikubali. Kama anakupenda akuoe vinginevyo mnapotezeana muda wanangu. Pia kumbuka. Uzeekaji wenu siyo sawa mwanangu.
 
Pole sana mleta mada, mimi nakuombea tu kila lenye heri. Huwezi kujua mchizi anawaza nini, Ila kwa namna ulivyoeleza, ameamua hadi kukujengea...yaani hajengi nyumba yenu Ila yako?

Meaning.....
Anaandaa maisha yako na watoto wenu bila yeye...

Sad..so very sad Ila jipe moyo coz kipaumbele chako hapo ni kuishi bila uzinzi.
 
Usilazimishe ndoa, kuwa na subira kama hauna subira nae achana nae.
 
Kila shetani na mbuyu wake komaa na mbuyu wako dada. You are stuck together so keep sticking hakuna matata it comes with the package. Hakuna aliekamilika. It's better the devil you know than the devil you don't
 
Okay dear but my comment ilikuwa general..
M/Mungu akutimizie hitaji la moyo wako.
Kaisha timiziwa hitaji la moyo ila package imekuka na accessories tofauti na alizomchagulia Mungu akati Mungu alishamwandalia since day 1
 
Nakumbuka kuna demu alinipenda sana na alinipa malavu kama yote ila bahati mbaya sikuwa nampenda na nilimwambia ikaturn kuwa suicide threats nalo likawa kosa yani ndo kabsa nikamchukia kwa vitendo hivo nachojua hakuna mwanaume atakaa miaka zaidi ya 2 bila kutia dem mimba au kuhalalisha jiko nje ya hapo ni zero na tatzo mdada/mkaka ukishapenda sometimes basi na akili inalala na moyo kuchukua nafasi.

Wake the https://jamii.app/JFUserGuide up and analyze your relationship ship if it's sailing or sinking. Open your eyes n mind close your heart for a minute. Ila kama ndo uliamua basi komaa mpaka kieleweke adi aseme kweli we jembe
 
Si unaruhusiwa kuoa zaidi he mmoja? Is ambaye huko tayari, yeye akiwa tayari muongeze.
 
[emoji817]
 
Tunarekebishanaga mara kwa mara sasa hiyo tabia si angenambia tu
Wanaume wengi hatupendi Gubu, nayo pia jiangalie au unaweza usijitathmini mwenyewe mshirikishe shoga yako wa karibu akuainishie kasoro zako!
 
Hakuhitaji...... Huyo anakupotezea muda wako. Tunawaambia hapa kila siku kuwa mwanaume kukupatia pesa za matumizi haimaanishi anakupenda bali anafanya tu kutimiza majukumu huwa hamuelewi.
 
Kuna waZazi wanawakataza watoto wao kutafuta maisha?? Wanajua niko huku kikazi..
Wazazi wanajua upo kikazi na wana Imani ipo siku utawaletea mkwe ila wewe umejirahisha pasipokuwa na matumaini.

Jitathmini, fanya maamuzi, usije ukawafedheheshe wazazi baadaye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…