OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Mbona vidole Tena wakuu[emoji867]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona vidole Tena wakuu[emoji867]
Mkuu nipatie binti mmoja niweke ndani.Shikamoo shemeji. Hivi hizi comments ni za kwako au? Hadi wewe mzee wa "Audition" unasema hivi? Mungu azidi kunipa hekima na maarifa ya kuwalisha mabinti zangu na wenyewe wakawe wasikivu IJN
Akishakuzeesha ndo utajutia uamuzi wako. Jibu unalo wewe ila hutaki kulikubali. Kama anakupenda akuoe vinginevyo mnapotezeana muda wanangu. Pia kumbuka. Uzeekaji wenu siyo sawa mwanangu.Habari zenu wanaJF
Waislam wenzangu A’alaykum (eid inanukia[emoji39])
Niko na mtu tuna miaka mitatu hadi sasa tumepitia changamoto nyingi furaha na huzuni, kiukweli ni mtu ambaye hajawahi kuniacha hata hatua moja.
Suala lililonileta kwenu.
Huyu mtu ni Muislam mwenzangu hamna changamoto zingine zozote isipokua kwenye suala la sisi kuhalalisha anakua mgumu mno (ndoa) ukimwambia tu basi tuhalalishe ni yuko muwazi yeye kwasasa hataki.
Huduma zote anatoa kuanzia matumizi (pesa) na huduma za chumbani, tunaishi wote. Shida ni hiyo tu hataki tuhalalishe ndugu zangu nifanyaje na kuachana nae siwezi japokua mwenyewe alinambia kama naona ananichelewesha basi anipe nafasi ndani ya muda fulani ikiwa bado sijaipata hiyo ndoa turudiane.
Hata funga yangu naona haiswihi kabisa maana tunaishi wote then tunafunga eti. Kwenye kila kitu mnakubaliana ila suala la ndoa hapo hataki anasema nivumilie.
Simuelewi! Au ana miiko. Niko hoves nimechoka kuzini
View attachment 1781917
Hahaahha tuma CV yako kwa mama mkwe kwanzaMkuu nipatie binti mmoja niweke ndani.
Nitumie kwa njia gani mweshimiwa mama mkwe.Hahaahha tuma CV yako kwa mama mkwe kwanza
Usilazimishe ndoa, kuwa na subira kama hauna subira nae achana nae.Habari zenu wanaJF
Waislam wenzangu A’alaykum (eid inanukia[emoji39])
Niko na mtu tuna miaka mitatu hadi sasa tumepitia changamoto nyingi furaha na huzuni, kiukweli ni mtu ambaye hajawahi kuniacha hata hatua moja.
Suala lililonileta kwenu.
Huyu mtu ni Muislam mwenzangu hamna changamoto zingine zozote isipokua kwenye suala la sisi kuhalalisha anakua mgumu mno (ndoa) ukimwambia tu basi tuhalalishe ni yuko muwazi yeye kwasasa hataki.
Huduma zote anatoa kuanzia matumizi (pesa) na huduma za chumbani, tunaishi wote. Shida ni hiyo tu hataki tuhalalishe ndugu zangu nifanyaje na kuachana nae siwezi japokua mwenyewe alinambia kama naona ananichelewesha basi anipe nafasi ndani ya muda fulani ikiwa bado sijaipata hiyo ndoa turudiane.
Hata funga yangu naona haiswihi kabisa maana tunaishi wote then tunafunga eti. Kwenye kila kitu mnakubaliana ila suala la ndoa hapo hataki anasema nivumilie.
Simuelewi! Au ana miiko. Niko hoves nimechoka kuzini
View attachment 1781917
Nitumie kwa njia gani mweshimiwa mama mkwe.
Kosa kubwa, yaani ile unaanzisha tu jamaa anakudaka...Au nianzishe mahusiano mengine kimya kimya
Kila shetani na mbuyu wake komaa na mbuyu wako dada. You are stuck together so keep sticking hakuna matata it comes with the package. Hakuna aliekamilika. It's better the devil you know than the devil you don'tThat’s your opinion siwezi kukubishia....
I met him with nothing only his job, kanikuta kwangu kwa mawazo yake akaona tuishi pamoja nimeplay part kubwa sana sana kwenye maisha yake that’s why hé decided kufanya Ali/anavyonifanyia siwezi kuongea nimefanya hivi na hivi
Na mm siogopi maisha, nimeanza biashara kuanzia niko o level to A level, chuo hadi sasa hata yeye ni amenipanulia tu nina vitu vyangu tofauti na alivyonipa yeye, nawasomesha wadogo zangu wawili na sio kwa kumtegemea yeye
Inshort recently
I CANNOT LEAVE HIM, sikuja kuomba ushauri wa kuachana nae[emoji1362]
Kaisha timiziwa hitaji la moyo ila package imekuka na accessories tofauti na alizomchagulia Mungu akati Mungu alishamwandalia since day 1Okay dear but my comment ilikuwa general..
M/Mungu akutimizie hitaji la moyo wako.
Nakumbuka kuna demu alinipenda sana na alinipa malavu kama yote ila bahati mbaya sikuwa nampenda na nilimwambia ikaturn kuwa suicide threats nalo likawa kosa yani ndo kabsa nikamchukia kwa vitendo hivo nachojua hakuna mwanaume atakaa miaka zaidi ya 2 bila kutia dem mimba au kuhalalisha jiko nje ya hapo ni zero na tatzo mdada/mkaka ukishapenda sometimes basi na akili inalala na moyo kuchukua nafasi.Sawa umeshinda sipendwi... umefurahi ee[emoji38][emoji38][emoji38] haya kakojoe ulale sasa
Kuonewa huruma nako raha maana wangapi wanatendwa wanaachwa na watoto wanahangaika[emoji848][emoji848] wangapi wameolewa kwa heshima mwisho wa siku waume zao wa ndoa wamewachoma kwa magunia ya mkaa nk
Ukiona sipendwi naonewa huruma na watoto wasijehangaika Hilo tu kwangu linatosha amethamini damu yake[emoji18]na mama yao...
Si unaruhusiwa kuoa zaidi he mmoja? Is ambaye huko tayari, yeye akiwa tayari muongeze.Habari zenu wanaJF
Waislam wenzangu A’alaykum (eid inanukia[emoji39])
Niko na mtu tuna miaka mitatu hadi sasa tumepitia changamoto nyingi furaha na huzuni, kiukweli ni mtu ambaye hajawahi kuniacha hata hatua moja.
Suala lililonileta kwenu.
Huyu mtu ni Muislam mwenzangu hamna changamoto zingine zozote isipokua kwenye suala la sisi kuhalalisha anakua mgumu mno (ndoa) ukimwambia tu basi tuhalalishe ni yuko muwazi yeye kwasasa hataki.
Huduma zote anatoa kuanzia matumizi (pesa) na huduma za chumbani, tunaishi wote. Shida ni hiyo tu hataki tuhalalishe ndugu zangu nifanyaje na kuachana nae siwezi japokua mwenyewe alinambia kama naona ananichelewesha basi anipe nafasi ndani ya muda fulani ikiwa bado sijaipata hiyo ndoa turudiane.
Hata funga yangu naona haiswihi kabisa maana tunaishi wote then tunafunga eti. Kwenye kila kitu mnakubaliana ila suala la ndoa hapo hataki anasema nivumilie.
Simuelewi! Au ana miiko. Niko hoves nimechoka kuzini
View attachment 1781917
Wewe noma sana mkuuNa kumbe uislamu unaruhusu kufunga na kuishi na mtu huku hamna ndoa. Hata mimi nabadilia dini soon.
[emoji817]Ujue kuna jambo haliko sawa kwako, au kuna kitabia unacho ambacho kinampa Mashaka kuhalalisha kwa kuogopa mkiingia kwenye ndoa hicho kitabia kitaleta matatizo yeye kukwambia hawezi das why anakusubirisha tu kila mtu anahisi may be you can change later
Wanaume wengi hatupendi Gubu, nayo pia jiangalie au unaweza usijitathmini mwenyewe mshirikishe shoga yako wa karibu akuainishie kasoro zako!Tunarekebishanaga mara kwa mara sasa hiyo tabia si angenambia tu
Hakuhitaji...... Huyo anakupotezea muda wako. Tunawaambia hapa kila siku kuwa mwanaume kukupatia pesa za matumizi haimaanishi anakupenda bali anafanya tu kutimiza majukumu huwa hamuelewi.Habari zenu wanaJF
Waislam wenzangu A’alaykum (eid inanukia[emoji39])
Niko na mtu tuna miaka mitatu hadi sasa tumepitia changamoto nyingi furaha na huzuni, kiukweli ni mtu ambaye hajawahi kuniacha hata hatua moja. Suala lililonileta kwenu.
Huyu mtu ni Muislam mwenzangu hamna changamoto zingine zozote isipokua kwenye suala la sisi kuhalalisha anakua mgumu mno (ndoa) ukimwambia tu basi tuhalalishe ni yuko muwazi yeye kwasasa hataki.
Huduma zote anatoa kuanzia matumizi (pesa) na huduma za chumbani, tunaishi wote. Shida ni hiyo tu hataki tuhalalishe ndugu zangu nifanyaje na kuachana nae siwezi japokua mwenyewe alinambia kama naona ananichelewesha basi anipe nafasi ndani ya muda fulani ikiwa bado sijaipata hiyo ndoa turudiane.
Hata funga yangu naona haiswihi kabisa maana tunaishi wote then tunafunga eti. Kwenye kila kitu mnakubaliana ila suala la ndoa hapo hataki anasema nivumilie.
Simuelewi! Au ana miiko. Niko hoves nimechoka kuzini
Masikini mtoto hatakuwa na haki ya kumrithi baba yakeAlifariki ila tunategemea kupata mwingine soon Mungu akipenda[emoji2972]
Wazazi wanajua upo kikazi na wana Imani ipo siku utawaletea mkwe ila wewe umejirahisha pasipokuwa na matumaini.Kuna waZazi wanawakataza watoto wao kutafuta maisha?? Wanajua niko huku kikazi..