Naishi na Mwanaume, tatizo nikimgusia suala la ndoa anadai nisubiri hayuko tayari kwa sasa

Somewhere kuna something haipo sawa.
Ata mm namshauri atulie tu kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani akikuoa ni kitu gani cha ziada atakipata ambacho hakipati kwa sasa?
Endelea kutumika mrembo.
 
Nimeandika waraka mrefu kama wa simba nimeamua kufuta lakini nikwambie tu hiyo presha ya ndoa itakufanya uikose hiyo ndoa acheni kulazimisha akitaka atakuoa tu na pia sio lazima akuoe huo mda unaopiga kelele za ndoa ungekuwa unautumia kupanua biashara yako ama kujenga,afu pisi yenyewe kali mmh
 
1. Una chura?
2. Unajua kufinyia ndani?
 
Hata mie kama unanipa nachotaka tutaendana 100% ila ukiwa mshenzi mshenzi lazma mzani ucheze
 
Mtu anakutumia kama mke na mume lakini kuihalalishia HATAKI haoni muda unaenda na sisi wanawake tunawahi kubadilika kimaumbile tofauti na wanaume
Af unakataaga wahuni kumbe umewekwa kinyumba bila ndoa!

Jokes aside, Mie nina hisia kama kuna mgogoro kwa upande wa jamaa yako ila hajakushirikisha likely sababu ni kwenye family yao hawakutaki au wanakuona huendani na mtoto wao au itikadi zao! Sema jamaa anaona noma kukuchana ila inakujaga ku blow out vibaya kama kuna mke wamemtafutia kwao ili akutose wewe. Jamaa ana conflict flani sababu hakuna sababu ya kutokukuoa ikiwa ndoa ya kiisilamu haina mbwembwe za mamilion mkitaka kuhalalisha tu!
 

Ushauri wako nimeuelewa zaidi

Watu wanalazimisha niondoke niachane nae wanaona kama rahisi

Tunafuraha tena zaidi ya furaha ni mshkaji wangu kiasi kwamba naweza kufanya chochote mbele yake na kwake pia

Hopeful muda wetu bado tu naimani ye ndio niliyeandikiwa
 

Thanks kwa ushauri wako[emoji122] kweli ni focus na kujijenga mwenyewe zaidi
 
alinambia kama naona ananichelewesha basi anipe space ndani ya muda flani ikiwa bado sijaipata hiyo ndoa turudiane.
Nimeishia hapa...


Ndio yule ulizaa nae bahati mbaya mtoto akafariki?
 

Maybe siwezijua maana hajaniambia anachosema ni bado hayuko tayari na furaha huishia hapo hiyo hadi kesho
 
TULIZANA na usisahau ya WADUDU πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Kila kitu kiko shwari kabisa anakutimizia mahitaji yako kama KE bila shida yoyote na wewe unafurahia juhudi zake. Kitandani anakupa raha za hali ya juu huna malalamiko yote. Mapenzi yake kwako unaridhika nayo na wewe unampenda sana. Kukumbushia ndoa ni muhimu lakini USIKURUPUKE na kufunga virago vyako eti kulazimisha ndoa UTAULA WA CHUYA! 😜😜

 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimecheka hadi nimepaliwa


Ni kweli

Yani hapa wananishauri niondoke utafikiri wao watanioa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]wanaume wenyewe wengine sio rizk wengine maugomvi kila siku wengine wanataka kupewa wao tu wengine sek10 chaliii akuuu mwenzangu namsomea ya WADUDU TU hadi kieleweke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…