Naishi na Mwanaume, tatizo nikimgusia suala la ndoa anadai nisubiri hayuko tayari kwa sasa

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nimeshakuongezea miaka ya kuishi na huyo mzinzi mwenzio.
 
Hivi hii tabia ya wanaume kujifanya wanawake na kufungua I'd itaisha lini?

Kwamba mi ni mwanaume[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]haa sasa nidanganye yote hiyo natafuta nini?? Embu pitia threads zangu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimeshakuongezea miaka ya kuishi na huyo mzinzi mwenzio.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwan mzinzi mwenyewe anasemaje[emoji38][emoji38]


Umejua kunichekesha kunywa pepsi ya baridiii nitalipia
 
🤣🤣🤣🤣Ahsante sana naomba niongeze na kitafunwa sambusa mbili 😜😜
 
Thanks kwa ushauri wako[emoji122] kweli ni focus na kujijenga mwenyewe zaidi
Ningekupa story yangu mi nimekaa kwenye uchumba mda mrefu saana na baada ya kuona vipaumbele vya mwanaume sikuwahi kumsumbua kabisa mpaka aliamua mwenyewe kwamba hapa naoa(imagine wadogo zangu,graduates wote nilomaliza nao wote walikuwa na family)mme wangu ye alitaka kwanza ajenge na awe na usafiri ndo aoe sasa pimia hapo ni mda gani,pimia hapo ndugu na marafiki wanavyokunanga(hapa niliwambia i will marry when i want, tusipangiane maisha )
 
Unaondoka unaenda wapi tulia ndoa itakuja acha kisirani,nakwambia hivi kisirani chako kitakufanya ukose ndoa
 
Yaani mnaishi pamoja, mnapika, mnapakua, mnajambiana; Ila kuoa anasubiri kujijenga.
Kwani kuoa maana yake nini kijamii? Ndio maana kiserikali mkiishi pamoja miezi mitatu nyie ni mke na mume tayari kiserikali. Huwa nashangaa mtu ambae anaishi na mwanamke wanafanya yote yawapasayo mke na mume kwa asilimia 100, ila mwanaume anasema hataki kuoa anajijenga kwanza (wakati kimsingi hapo ni ameshaoa, ila tu anachoogopa ni kile kifungo cha commitment).
As a man, nikiona mwanaume anafanya hivyo ninachoelewa ni kwamba, "I am not sure yet if i want to spend the rest of my life with you, give me more time, may be with time i will be sure to enter into a life commitment with you".
Mwanaume ambae ana uhakika asilimia 100 kuwa nataka kuspend the rest of my life with mwanamke X, hatafikiria mara mbili kuhalalisha commitment yake kwa mwanamke huyo bila kujali sababu nyingine YOYOTE ILE!!
Anyways, tunatofautiana fikra na mitazamo!
 

Na Mimi ananiambia kinachonitesa ni hicho kuona wenzangu wanaolewa[emoji28][emoji28]lakini Walaa siko huko
Mwenyewe anavipaumbele vyake anasema hataki baadae nipate shida na watoto so kuna vitu anavifanya Ndio process zingine zifwate


I wsh ungeongeza nyama kidogo nami niendelee kujipa moyo maana humu comments nyingi ni niondoke niondoke

Nipe hiyo story yako mpenzi
 

Mimi mwenyewe sielewi anaelewaje ilihali kila kitu tunafanya pamoja tunalala na kuamka pamoja tatizo langu analibeba kama lake mm pia kwake hivyo hivyo Yan tunaishi kimke na mume kabisaaa hadi majirani wanajua ni mke na mume


Kiserikali ni miezi6 na sisi tuna miaka 3 tunaenda minne
 
3. Sura nzuri
4. Akili
Chura na kufinyia kote ndani bado hataki kukuhalalisha kuwa mkewe😂😂😂 Uzuri wanaume makini linapofika suala la kuoa hawaangalii hivyo vitu atakutumia na atakuacha,
Ingekuwa hivyo nadhani wanawake wasiovutia ndo wangekuwa wanaleta mada Kama hizi, na hutoamini macho yako aina ya mwanamke atakaefunga nae ndoa,

Hapa ndipo utaona wanaume wako tofauti sana katika hizi mambo za kuoa wengi wanatumia akili sio mihemko ya kufinyiwa ndani na chura😂😂😂😂 pole tena
 

Asante mkuu ngoja nimezee na panadol
 
Ni mapema sana
 
afu ashakuchoka kitambo sana,anashindwa kukufukuza tu so kuna uwezekano akakukimbia akuachie ghetto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…