Naishi na Mwanaume, tatizo nikimgusia suala la ndoa anadai nisubiri hayuko tayari kwa sasa

Naishi na Mwanaume, tatizo nikimgusia suala la ndoa anadai nisubiri hayuko tayari kwa sasa

Uzi wenu pendwaaaa haya endeleni kujiachia[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] au niwafungulie mwingine?????
 
Duuuh sasa mbona unajiquote[emoji28][emoji28][emoji28][emoji134][emoji134][emoji134][emoji16][emoji16][emoji1787]

Kwani kuna limitations [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]au huelewi maana ya quote madame
 
Ila una mdomo mchafu mweeh[emoji134][emoji134]

Kama sio gahawa hii hata angekuwa mimi ni huyo jamaa ako sikuoi mpaka utoke mvi za mnduku[emoji848]

Tena mchafu haswaaaaaaaa[emoji1362][emoji1362][emoji1362]


Ndio anachokisubiria hadi hizo mvi zitoke[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] kwani unateseka? Mbona unapata mhaho wa kuhara na chakula hujala wewe
 
Tumeongezeka wenye kuona wivu[emoji23][emoji23] wit hebu niache nibebike na shemeji yako mimi, mtizamo wangu nimeutoa, na inatosha

Mbona hueleweki kama malaya wa kimboka mara huna bwana umebadilika gafla umeolewa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji16][emoji16][emoji16] we jeuri sana asee, uzi ulete mwenyewe afu upangie watu cha kupost[emoji849][emoji849][emoji849]

Pole kwa kuchelewa kujua hilo


Ningekupangia hata we usingecomment


Nachofurahia mmeupa uhai uzi wangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mnanipa rahaaa Leo futari yangu nitaila burdaniiiii kabisa
 
Naona uzi umevamiwa na wadangaji[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]haya jipeni airtime huwenda na nyie mkapata hata wa kuwastiri mkatoka makwenu na kuacha kudanga mtandaoni[emoji1362][emoji1362]


Bado hamna aliyenikera hadi sasa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]ongezeni juhudi mkiishiwa bundle niwatumie
 
Hata hiyo fikra ya kutoa mnduku wangu sinaaaaa ndio kwanza namsomea ya wadudu[emoji1362][emoji1362]
Mbona hueleweki umeandika kwamba hutaangaika nae tena kudai ndoa baada ya comments za Walimwengu kukwambia vumilia hii Wadudu unayotaka kumsomea kwamba unahitaji ndoa chapu kwa haraka😂😂😂😂😂😂
 
Habari zenu wanaJF

Waislam wenzangu A’alaykum (eid inanukia[emoji39])

Niko na mtu tuna miaka mitatu hadi sasa tumepitia changamoto nyingi furaha na huzuni, kiukweli ni mtu ambaye hajawahi kuniacha hata hatua moja.

Suala lililonileta kwenu.

Huyu mtu ni Muislam mwenzangu hamna changamoto zingine zozote isipokua kwenye suala la sisi kuhalalisha anakua mgumu mno (ndoa) ukimwambia tu basi tuhalalishe ni yuko muwazi yeye kwasasa hataki.

Huduma zote anatoa kuanzia matumizi (pesa) na huduma za chumbani, tunaishi wote. Shida ni hiyo tu hataki tuhalalishe ndugu zangu nifanyaje na kuachana nae siwezi japokua mwenyewe alinambia kama naona ananichelewesha basi anipe nafasi ndani ya muda fulani ikiwa bado sijaipata hiyo ndoa turudiane.

Hata funga yangu naona haiswihi kabisa maana tunaishi wote then tunafunga eti. Kwenye kila kitu mnakubaliana ila suala la ndoa hapo hataki anasema nivumilie.

Simuelewi! Au ana miiko. Niko hoves nimechoka kuzini

View attachment 1781917
Mbebee mimba atakuoa
 
Mbona hueleweki umeandika kwamba hutaangaika nae tena kudai ndoa baada ya comments za Walimwengu kukwambia vumilia hii Wadudu unayotaka kumsomea kwamba unahitaji ndoa chapu kwa haraka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sindio ushauri nilioupata na nimeupokea[emoji1362][emoji1362] na naufanyia kazi[emoji3526]
 
Pole kwa kuchelewa kujua hilo


Ningekupangia hata we usingecomment


Nachofurahia mmeupa uhai uzi wangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mnanipa rahaaa Leo futari yangu nitaila burdaniiiii kabisa
[emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom