Naishukuru sana serikali ya Rais Samia kwa kuniweka benchi miaka 10 bila ajira

Down To Earth

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
21,940
Reaction score
16,643
Kwa kweli niseme tu asante, nishukuru kwa kila jambo kama Biblia ilivyotuamuru.

Nilihitimu Elimu yangu ya ngazi ya juu mwaka 2015 Katika Shahada ya Logistics and Transport Management, mpaka leo nasugua benchi tu😭

Mama Samia na serikali yako mbarikiwe sana kwa hili.

Tupo wengi sana tunaosota mtaani na serikali ilitumia gharama kubwa sana kutusomesha.

Siku njema wana JF.

FB_IMG_1721287467913.jpg
 
Kwa kweli niseme tu asante, nishukuru kwa kila jambo kama Biblia ilivyotuamuru

Nilihitimu Elimu yangu ya ngazi ya juu mwaka 2015 Katika Shahada ya Logistics and Transport Management, mpaka leo nasugua benchi tu[emoji24]

Mama SSH na serikali yako mbarikiwe sana kwa hili

Tupo wengi sana tunaosota mtaani na serikali ilitumia gharama kubwa sana kutusomesha.

Siku njema wana JFView attachment 3045366
Pongeza ya JPM ilio kupa ajira na ukaichezea
 
Kwa kweli niseme tu asante, nishukuru kwa kila jambo kama Biblia ilivyotuamuru

Nilihitimu Elimu yangu ya ngazi ya juu mwaka 2015 Katika Shahada ya Logistics and Transport Management, mpaka leo nasugua benchi tu😭

Mama SSH na serikali yako mbarikiwe sana kwa hili

Tupo wengi sana tunaosota mtaani na serikali ilitumia gharama kubwa sana kutusomesha.

Siku njema wana JFView attachment 3045366
ilo ni vumbi au vumbi la kongo wanalotumia vijana wa dar
 
Kumbe ata kipindi cha JPM hukua na ajira sasa wa kulaumu sio raisi wasasa mlamu mtangulizi wake ndo alio weke misingi mibovu.

Let the dead be the dead..

The dead dont talk...

sipendi kulaumu marehemu maana hana uwezo wa kujibu
 
Kwa kweli niseme tu asante, nishukuru kwa kila jambo kama Biblia ilivyotuamuru

Nilihitimu Elimu yangu ya ngazi ya juu mwaka 2015 Katika Shahada ya Logistics and Transport Management, mpaka leo nasugua benchi tu😭

Mama SSH na serikali yako mbarikiwe sana kwa hili

Tupo wengi sana tunaosota mtaani na serikali ilitumia gharama kubwa sana kutusomesha.

Siku njema wana JFView attachment 3045366
Duu ndio kwanza Ina miaka 3.5 ,,hiyo 10 umeitoa wapi?

Acha nongwa za kumsingizia mama.Usipopata Ajira awamu hii ya mama hutopata tena watakuja wale vichaa wengine mtakoma
 
Kwa kweli niseme tu asante, nishukuru kwa kila jambo kama Biblia ilivyotuamuru.

Nilihitimu Elimu yangu ya ngazi ya juu mwaka 2015 Katika Shahada ya Logistics and Transport Management, mpaka leo nasugua benchi tu😭

Mama Samia na serikali yako mbarikiwe sana kwa hili.

Tupo wengi sana tunaosota mtaani na serikali ilitumia gharama kubwa sana kutusomesha.

Siku njema wana JF.

Mitano tena, ila mbona tumeshindwa kuendesha mabasi ya mwendokasi na wataalamu mpo?
 
Duu ndio kwanza Ina miaka 3.5 ,,hiyo 10 umeitoa wapi?

Acha nongwa za kumsingizia mama.Usipopata Ajira awamu hii ya mama hutopata tena watakuja wale vichaa wengine mtakoma
Kwa hyo wewe umekuwa time traveler unaona future sio. Kwamba watakao kuja watakuwa worse than SSH?
 
Back
Top Bottom