much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 11,461
- 17,183
Kwasasa unamiaka 30 na Bado unaendelea kusota dm namba zako kesho uanze kutembeza vyomboKwa kweli niseme tu asante, nishukuru kwa kila jambo kama Biblia ilivyotuamuru.
Nilihitimu Elimu yangu ya ngazi ya juu mwaka 2015 Katika Shahada ya Logistics and Transport Management, mpaka leo nasugua benchi tu😭
Mama Samia na serikali yako mbarikiwe sana kwa hili.
Tupo wengi sana tunaosota mtaani na serikali ilitumia gharama kubwa sana kutusomesha.
Siku njema wana JF.