Naishukuru sana serikali ya Rais Samia kwa kuniweka benchi miaka 10 bila ajira

Naishukuru sana serikali ya Rais Samia kwa kuniweka benchi miaka 10 bila ajira

Mitano tena, ila mbona tumeshindwa kuendesha mabasi ya mwendokasi na wataalamu mpo?
CV zetu zilitupwa kwenye dustbin na kuchomwa moto...

kwenye SGR hatukushirikishwa hata kukatisha tiketi achilia mbali Operation and Administration..

It Pains
 
Kwa hyo wewe umekuwa time traveler unaona future sio. Kwamba watakao kuja watakuwa worse than SSH?
Uzoefu Unaonesha Viongozi Wakristo(RC) wamekuwa hivyo Wala sio swala la time traveller historia itakupa majibu.

Sio tuu worse kwenye ugumu wa Ajira Bali hata ukatili.

Nasisitiza usipopata kazi awamu hii ya Samia hesabu maumivu Jumla.
 
Duu ndio kwanza Ina miaka 3.5 ,,hiyo 10 umeitoa wapi?

Acha nongwa za kumsingizia mama.Usipopata Ajira awamu hii ya mama hutopata tena watakuja wale vichaa wengine mtakoma
Mwenye shiba hawezi mkumbuka mwenye njaa.

Try to wear my shoes bro

Or Just assume I am your brother hustling for years, could you spit these similar bitter words?

Could you dare?
 
Sio wewe tu ndugu majobless now tuko maelfu kwa maelfu. Sasa hivi kila nyumba unakuta kuna graduate. Machinga,madalali , wauza mitumba, matunda, genge, bodaboda wengi ni degree holders tofauti na hapo nyuma.
Kikubwa nikuendelea kupambana kule ajira portal.
 
Mwenye shiba hawezi mkumbuka mwenye njaa.

Try to wear my shoes bro

Or Just assume I am your brother hustling for years, could you spit these similar bitter words?

Could you dare?
Kama huwezi kuona tofauti ya Serikali ya SSH vs Magufuli basi una matatizo sana naona unasema lao Moja.

Nasisitiza usipopata kazi awamu ya mama sio tuu Serikalini hata private basi hutopata kazi tena maana kama Ajira hazipo Serikalini Private sector zipo Kwa sababu sekta ya Usafirishaji ni namba 2 Kwa Ukuaji Tanzania

View: https://twitter.com/swahilitimes/status/1813092372336767256?t=5seXsbyZ-wIRgLbtmekB5A&s=19
 
Thanks for being here brother..

Ajirq zaweza kuwepo ndiyo sikatai,

but mind you, there are some other factors hindering us from fetching these rare opportunities.
 
kwa kweli nawaomba sana wadau kama kuna mtu ana pikipiki anisaidie hata nipige bodaboda maana hii hali ishanichanganya sana

CV zetu zilitupwa kwenye dustbin na kuchomwa moto...

kwenye SGR hatukushirikishwa hata kukatisha tiketi achilia mbali Operation and Administration..

It Pains

Mwenye shiba hawezi mkumbuka mwenye njaa.

Try to wear my shoes bro

Or Just assume I am your brother hustling for years, could you spit these similar bitter words?

Could you dare?
bro, wewe si ndio ulimuuliza Fundi manyumba kama anaweza fanya kazi ya 260k, asa ungemlipa nn kama ww mwnyew huna kazi?
 
Back
Top Bottom