Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
Pongeza ya JPM ilio kupa ajira na ukaichezeaKwa kweli niseme tu asante, nishukuru kwa kila jambo kama Biblia ilivyotuamuru
Nilihitimu Elimu yangu ya ngazi ya juu mwaka 2015 Katika Shahada ya Logistics and Transport Management, mpaka leo nasugua benchi tu[emoji24]
Mama SSH na serikali yako mbarikiwe sana kwa hili
Tupo wengi sana tunaosota mtaani na serikali ilitumia gharama kubwa sana kutusomesha.
Siku njema wana JFView attachment 3045366
ilo ni vumbi au vumbi la kongo wanalotumia vijana wa darKwa kweli niseme tu asante, nishukuru kwa kila jambo kama Biblia ilivyotuamuru
Nilihitimu Elimu yangu ya ngazi ya juu mwaka 2015 Katika Shahada ya Logistics and Transport Management, mpaka leo nasugua benchi tu😭
Mama SSH na serikali yako mbarikiwe sana kwa hili
Tupo wengi sana tunaosota mtaani na serikali ilitumia gharama kubwa sana kutusomesha.
Siku njema wana JFView attachment 3045366
Thibitisha kama niliajiriwa kabla sijakutemea kohozi usoni🤬🤬Pongeza ya JPM ilio kupa ajira na ukaichezea
Yeye na Mwendazake wote lao lilikua moja toka 2015SSH serikali yake imeanza baada ya 17,03, 2021.
SSH yupo madarakan mwaka wa tatu huu.
Hiyo miaka 10 unamsingizia
Kumbe ata kipindi cha JPM hukua na ajira sasa wa kulaumu sio raisi wasasa mlamu mtangulizi wake ndo alio weke misingi mibovu.Thibitisha kama niliajiriwa kabla sijakutemea kohozi usoni[emoji2959][emoji2959]
Kumbe ata kipindi cha JPM hukua na ajira sasa wa kulaumu sio raisi wasasa mlamu mtangulizi wake ndo alio weke misingi mibovu.
Acha na Mimi niongeze muwakilishi mwingine Mwaka unaenda wa 15 huu Ajira emptyTupo wengi sana tunaosota mtaani na serikali ilitumia gharama kubwa sana kutusomesha.
Kwa kweli ni jambo la Kumshukuru Mungu ananijalia afya njema na sijajiingiza katika matumizi ya madawa ama Uhalifu...Kikubwa unapumua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu ajira mpyaa, karipoti kituo cha kazi huko Kigoma.Acha na Mimi niongeze muwakilishi mwingine Mwaka unaenda wa 15 huu Ajira emptyView attachment 3045373
Duu ndio kwanza Ina miaka 3.5 ,,hiyo 10 umeitoa wapi?Kwa kweli niseme tu asante, nishukuru kwa kila jambo kama Biblia ilivyotuamuru
Nilihitimu Elimu yangu ya ngazi ya juu mwaka 2015 Katika Shahada ya Logistics and Transport Management, mpaka leo nasugua benchi tu😭
Mama SSH na serikali yako mbarikiwe sana kwa hili
Tupo wengi sana tunaosota mtaani na serikali ilitumia gharama kubwa sana kutusomesha.
Siku njema wana JFView attachment 3045366
Pikipiki unatafuta kifo au kirema kwa stress hizo utapitiwa na gari neenda ukalime matikiti msimu unaanza mwezi wa nane......kwa kweli nawaomba sana wadau kama kuna mtu ana pikipiki anisaidie hata nipige bodaboda maana hii hali ishanichanganya sana
Mitano tena, ila mbona tumeshindwa kuendesha mabasi ya mwendokasi na wataalamu mpo?Kwa kweli niseme tu asante, nishukuru kwa kila jambo kama Biblia ilivyotuamuru.
Nilihitimu Elimu yangu ya ngazi ya juu mwaka 2015 Katika Shahada ya Logistics and Transport Management, mpaka leo nasugua benchi tu😭
Mama Samia na serikali yako mbarikiwe sana kwa hili.
Tupo wengi sana tunaosota mtaani na serikali ilitumia gharama kubwa sana kutusomesha.
Siku njema wana JF.
Kwa hyo wewe umekuwa time traveler unaona future sio. Kwamba watakao kuja watakuwa worse than SSH?Duu ndio kwanza Ina miaka 3.5 ,,hiyo 10 umeitoa wapi?
Acha nongwa za kumsingizia mama.Usipopata Ajira awamu hii ya mama hutopata tena watakuja wale vichaa wengine mtakoma