Naishukuru sana serikali ya Rais Samia kwa kuniweka benchi miaka 10 bila ajira

Kwasasa unamiaka 30 na Bado unaendelea kusota dm namba zako kesho uanze kutembeza vyombo
 
bro, wewe si ndio ulimuuliza Fundi manyumba kama anaweza fanya kazi ya 260k, asa ungemlipa nn kama ww mwnyew huna kazi?
Sio hilo tu mkuu nilitoa connection ya kazi za watu wa Accounts hapa Mwanza


Kwenye hii shida siko peke yangu, ni vyema kusaidiana!
 
2015 juzi tu hapo mkuu๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ wengine tupo toka 2012 kitaa yaan miaka 12 iliyopita na bado serikali haina huruma na pesa waliyotukopesha ili irudi wakope wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ