Naisubiria kwa hamu El Classico ijayo tuwakande Real Madrid. Hilo pira litakalopigwa na Barça sipati picha. Rodri ndani!

Xi Jinping

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2023
Posts
9,548
Reaction score
28,817
Hatimaye the long wait is over Rodri ndani ya uzi wa Barça.

Barça itakuwa na kiungo kikali sana kati mkata umeme Rodri pembeni akiwepo Pedri na Dani Olmo na mtoto wa Kidachi FDJ kmmk

Leo game ya Barça na Basel majanja pale mbele wamekichafua sio poa.

Kwanza unakutana na Adeyemi ukipenda mwite Karim ndani ya dakika 2 katika kamba 2

Kushoto kuna LW kali sana toka aondoke Neymar mwite Gordon mtoto wa Kiingereza

Natural striker namba 9 Haaland wa Misri — Hamza katia kamba ya kikatili sana

Halafu kuna janja ana miaka 18 tu wa kuitwa Bissiwu

Basel kala 5 pira limenyooka sana. Hapo hatujawazungumzia Yamal, Cancelo na Raphinha

Deco mitano tena
​
 
Deco mwanzoni nilimuona mzinguaji ila jamaa ni master sana. Akili nyingi sana. Ila Barca bado wanahitaji striker pia.
 
SIku hizi tangu Hans Flicks aje RMA kwa Barça ni kama tu Simba kwa Yanga

Barça inajipigia tu huu misimu 2 mfululizo RMA habebi La Liga na mnakandwa nje ndani

Na yote hayo Flicks kayafanya akiwa na kikosi cha kawaida sana
Mara ya mwisho sisi kuchukua UCL ni 2022

Nyie wenzetu lini?

Niambie hii ahadi ni lini ilitekelezwa?


Na jana tunajua alikosa penalty alipigia upande wa kulia. Amekosa penalty 3 times in a row.

Habari zake tunazo ila tumeamua kunyamaza tu kwasababu wengine kuongea sio mambo yetu.
 
Nimehuzunika sana hujamtaja Lamine Yamal.

hydroxo
 
Yote haya ili kutetea uteja wa Madrid kwa Hans Flick. Inaongelewa Madrid na Barca ya sasa, wewe unaleta habari za Lionel Mess!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…