Naisubiria kwa hamu El Classico ijayo tuwakande Real Madrid. Hilo pira litakalopigwa na Barça sipati picha. Rodri ndani!

Naisubiria kwa hamu El Classico ijayo tuwakande Real Madrid. Hilo pira litakalopigwa na Barça sipati picha. Rodri ndani!

Mara ya mwisho sisi kuchukua UCL ni 2022

Nyie wenzetu lini?

Niambie hii ahadi ni lini ilitekelezwa?
View attachment 3651614

Na jana tunajua alikosa penalty alipigia upande wa kulia. Amekosa penalty 3 times in a row.

Habari zake tunazo ila tumeamua kunyamaza tu kwasababu wengine kuongea sio mambo yetu.
Unamuwaza sana Messiah eeh?

Mpaka mechi zake unazifuatilia.
 
Deco mwanzoni nilimuona mzinguaji ila jamaa ni master sana. Akili nyingi sana. Ila Barca bado wanahitaji striker pia.
Umesema vyema

Yule Alvarez, Barça wafanye juu chini wampe kandarasi tumalizane na suala la attacking, halafu focus iwe kwenye kuimarisha backline kiaina

Deco ni mtu muhimu sana moja ya the best sporting directors in my books

Kwanza, kwa kuuza baadhi ya wachezaji ameisaidia club kupunguza wage bill na kupata nafasi kwenye wage cap

Pili, ametuletea wachezaji wakali kwa gharama nafuu

Newcastle walitaka €90M kwa Gordon, Barça wakafunga dili kwa €70M

Dortmund walitaka €30M kwa Adeyemi, Deco akawashusha hadi €22M

Al Hilal walitaka €15M kwa Cancelo, lakini jamaa anawasili bure (free transfer) bila ganji yoyote

Man City walitaka €80M kwa Rodri, Deco akasema hapana kashuka nao mpaka €65M

The man is a serious bargain hunter🔥
 
Nimehuzunika sana hujamtaja Lamine Yamal.

hydroxo
Yamal ametajwa humo, sema nini tumeweka kipaumbele kwa vipaji vipya. Barça iko in safe hands, na future yetu ni bright

Yamal na kaka mkubwa Raphinha wapo pale kuhakikisha kunakuwa na utulivu mbele, huku Raphinha akileta experience na Yamal akiwakilisha kizazi kipya
 
Hamna kazi pale ..
Barca viungo tunao wa kutosha sana iasee. Tunkara,Fermin,Bernal,Olmo,Rodri,Pedri,De jong. Wote hapo world class. Mchawi nyuma kule, tungempata Laporte ingependeza sana
View attachment 3651612
Oyaa turudi enzi za pasi rula, mipasi ya sambusa na mijalo ya kwenda

Kama ile game ya Classico ya mwaka 2010 RMA inakula mkono dimba Camp Nou, chini ya Pep

Xavi, Iniesta na Busquets walikiwasha Madrid walipigishwa saka bwege mpaka wakawa wanasakiziana nani aende kukaba

Naanza kupata picha hii kiungo ya Pedri, Rodri na Olmo/FDJ itarudisha zile kumbukumbu za utawala wa midfield, round hii Camavinga na jeshi lake watatoa ulimi nje kama mbwa
 
Hamna kazi pale ..
Barca viungo tunao wa kutosha sana iasee. Tunkara,Fermin,Bernal,Olmo,Rodri,Pedri,De jong. Wote hapo world class. Mchawi nyuma kule, tungempata Laporte ingependeza sana
View attachment 3651612
Iniesta alikuwa mtu sana saaana, hadi sasa bado tunatafuta mbadala wake pale. Pedri namuona akienda kucover nafasi ya Xavi. Olmo yamkini naye akafanikiwa kucover kwa Iniesta. Rodri na Sergio, naenda na Rodri, Rodri akija Barca ni unyama sana.
 
Kama hufuatilii sana mpira afu ukutane na hii thread unaeza kuhisi Madrid atapigwa 5 kama Simba.
Mbona Madrid ashagongwa 4 game kadhaa ndani ya misimu miwili ya hivi karibuni, au hufatilii mpira. Madrid ameshagongwa vipigo vizito na Barca kuliko Simba alivyopigwa na Yanga.

Halafu usituharibie uzi kwa kuleta habar za Simba na Yanga hapa. Katafute thread zingine za kutaja majina ya timu za kibongo ila sio humu.
 
Umesema vyema

Yule Alvarez, Barça wafanye juu chini wampe kandarasi tumalizane na suala la attacking, halafu focus iwe kwenye kuimarisha backline kiaina

Deco ni mtu muhimu sana moja ya the best sporting directors in my books

Kwanza, kwa kuuza baadhi ya wachezaji ameisaidia club kupunguza wage bill na kupata nafasi kwenye wage cap

Pili, ametuletea wachezaji wakali kwa gharama nafuu

Newcastle walitaka €90M kwa Gordon, Barça wakafunga dili kwa €70M

Dortmund walitaka €30M kwa Adeyemi, Deco akawashusha hadi €22M

Al Hilal walitaka €15M kwa Cancelo, lakini jamaa anawasili bure (free transfer) bila ganji yoyote

Man City walitaka €80M kwa Rodri, Deco akasema hapana kashuka nao mpaka €65M

The man is a serious bargain hunter🔥
Yeah lakini pia Barca ni timu inayopendwa sana na wachezaji na viongozi wengi wa mpira. Pale kati patawaka saana msimu huu.
 
Iniesta alikuwa mtu sana saaana, hadi sasa bado tunatafuta mbadala wake pale. Pedri namuona akienda kucover nafasi ya Xavi. Olmo yamkini naye akafanikiwa kucover kwa Iniesta. Rodri na Sergio, naenda na Rodri, Rodri akija Barca ni unyama sana.
Rodri kashakuja ni confirmed.
 
Screenshot_20260817-131343_Facebook.jpg
 
Simeone atupe tu huyo dogo, Argentina wanaionaga Barca ni kama timu ya ndoto zao. Sioni ugumu sana wa deal kukamilika.
Kabisa.

Dogo alikuwa na kikao na Simeone wakati anarudi kambini.

Sema El cholo hakutokea.

Dogo yuko tayari 100% ni Atletico ndio kizingiti.

Wanasema mpaka wapate replacement yake ndio wamuachie.
 
Mimi nataka nimuone atskuja na mbinu gani ya tofauti.

Mana mbinu za Mourinho zinajulikana hasa anapocheza na timu inayoposesi sana mpira.

Ngoja tumuone.
Na anapenda watu wenye mpira wa vurugu, sioni pale Madrid kama kuna watu watukutu kama enzi za akina Khedira, Alonso, Pepe, Ramos nk
 
Back
Top Bottom