Baada ya kumkosa ndio mnasema.Hapo barca wamepigwa, wametia milioni 80 chooni
Pole sana, so far hakuna mchezaji Barça wamemsajili kwa € 80mlnHapo barca wamepigwa, wametia milioni 80 chooni
Ushindi wenu ni kumfunga Madrid?Yote haya ili kutetea uteja wa Madrid kwa Hans Flick. Inaongelewa Madrid na Barca ya sasa, wewe unaleta habari za Lionel Mess!
Unakumbuka mara yenu ya mwisho kuchukua UCL ilikuwa lini?Unamuwaza sana Messiah eeh?
Mpaka mechi zake unazifuatilia.
Future bright kwenye mashindano gani?Yamal ametajwa humo, sema nini tumeweka kipaumbele kwa vipaji vipya. Barça iko in safe hands, na future yetu ni bright
Yamal na kaka mkubwa Raphinha wapo pale kuhakikisha kunakuwa na utulivu mbele, huku Raphinha akileta experience na Yamal akiwakilisha kizazi kipya
Unaongea tu kishabiki lakini moyoni unahuzunika na kuogopa.Future bright kwenye mashindano gani?
Copa De rey ama?
Tumechukua UCL 4 mbele ya Bousquet, Xavi na Iniesta.
And now you want us to be scared of Pedri (bench warmer ) Rodri (injury prone) and Fermin?
Tutasomana huko mbeleni.
Msikilize huyu Tapeli, kaja na tribute ile ile aliyofanya Messi.Unaongea tu kishabiki lakini moyoni unahuzunika na kuogopa.
We fikiria katika mechi sita za mwisho umepata ushindi mechi moja tu kwanini usiogope.
Mimi bakusubiri na mourinho wenu tuwaone.
Hata barc angeenda kugongwa nyingi PSG sio timu ya mchezo mngeenda tu..Na Inter Milan, tuna hasira nao sana mbwa wale, walitutoa kisha wakaenda kugongwa nyingi na PSG kama marofa.
Hivi itarushwa LIVE DSTV au Azam au ndo tuweke bundle la kuangalia online tu.Kesho kuna gemu ya kirafiki BARCA VS AL AHALY
Hii game barca anaweza toa sare tu maana game ya kwanza anaanzia ugenini laligaKesho kuna gemu ya kirafiki BARCA VS AL AHALY
Yaan hawa Barcelona mwisho wao kuchukua vikombe vya spain tuu UEFA wana vi 5 tu wanazidiwa na liver wakati Madrid wanazo 15 mara yao ya mwisho kuchukua ni 2015.Mara ya mwisho sisi kuchukua UCL ni 2022
Nyie wenzetu lini?
Niambie hii ahadi ni lini ilitekelezwa?
View attachment 3651614
Na jana tunajua alikosa penalty alipigia upande wa kulia. Amekosa penalty 3 times in a row.
Habari zake tunazo ila tumeamua kunyamaza tu kwasababu wengine kuongea sio mambo yetu.
Perez ana akili kuliko mashabiki wa Madrid waliopo bongo, ambao hawajui chochote kuhusu Madrid ndio maana alimtaka Rodr. Ila baada ya kusign Barca ndo munagundua ni injury prone. SAWAFuture bright kwenye mashindano gani?
Copa De rey ama?
Tumechukua UCL 4 mbele ya Bousquet, Xavi na Iniesta.
And now you want us to be scared of Pedri (bench warmer ) Rodri (injury prone) and Fermin?
Tutasomana huko mbeleni.
Sisemi kama Rodri ni mchezaji mbovu, sisemi kama Tsouameni ni bora kuliko Rodri.Perez ana akili kuliko mashabiki wa Madrid waliopo bongo, ambao hawajui chochote kuhusu Madrid ndio maana alimtaka Rodr. Ila baada ya kusign Barca ndo munagundua ni injury prone. SAWA
El Classico na UCL havitupi majibu yoyote hapo. Yani wewe ikitajwa Barcelona tu unakimbilia UCL 😂 aya bwana. Mulipomleta Mbape kelele zilikuwa nyingi mara Barca sasa tutawaua, na kipondi kile Barca wachezaj wanaondoka tu. What happened?Sisemi kama Rodri ni mchezaji mbovu, sisemi kama Tsouameni ni bora kuliko Rodri.
Sisemi kama hatuna uhitaji wa DM mwenye ubora kama Rodri pale RMA.
Nachojaribu kusema ni kuwa Rodri kwa miaka amekuwa akiitaka Madrid na kuitaja kama timu ya ndoto yake. Kwanini katika hiko kipindi Perez hakuwahi kuwa na interest ilihali mchezaji alikuwa willing na hakukuwa na upinzani wa kumgombea?
Katika kipindi hicho hatukuwahi kujua kama Rodri anaweza kuipa Barcelona first priority.
Performance yake kwenye WC ndio iliyo draw attention ya Perez kutaka kumsajili.
Baada ya Guardiola kumshawishi Rodri aichague Barcelona ndio hapo ambapo Perez aliamua kurudi nyuma.
Hoja ni kwamba, ni kweli Barcelona ilikuwa na shida ya kiungo kwenye kikosi chake mpaka kumhitaji Rodri?
Baada ya hapo majibu tutakuja kuyapata kwenye El Classico na UCL.