Unamuwaza sana Messiah eeh?Mara ya mwisho sisi kuchukua UCL ni 2022
Nyie wenzetu lini?
Niambie hii ahadi ni lini ilitekelezwa?
View attachment 3651614
Na jana tunajua alikosa penalty alipigia upande wa kulia. Amekosa penalty 3 times in a row.
Habari zake tunazo ila tumeamua kunyamaza tu kwasababu wengine kuongea sio mambo yetu.
Umesema vyemaDeco mwanzoni nilimuona mzinguaji ila jamaa ni master sana. Akili nyingi sana. Ila Barca bado wanahitaji striker pia.
Yamal ametajwa humo, sema nini tumeweka kipaumbele kwa vipaji vipya. Barça iko in safe hands, na future yetu ni bright
Oyaa turudi enzi za pasi rula, mipasi ya sambusa na mijalo ya kwendaHamna kazi pale ..
Barca viungo tunao wa kutosha sana iasee. Tunkara,Fermin,Bernal,Olmo,Rodri,Pedri,De jong. Wote hapo world class. Mchawi nyuma kule, tungempata Laporte ingependeza sana
View attachment 3651612
Na Inter Milan, tuna hasira nao sana mbwa wale, walitutoa kisha wakaenda kugongwa nyingi na PSG kama marofa.UCL msimu huu watuachie tu
Na tuna unfinished biz na PSG nawataka sana wale the red and blues
Iniesta alikuwa mtu sana saaana, hadi sasa bado tunatafuta mbadala wake pale. Pedri namuona akienda kucover nafasi ya Xavi. Olmo yamkini naye akafanikiwa kucover kwa Iniesta. Rodri na Sergio, naenda na Rodri, Rodri akija Barca ni unyama sana.Hamna kazi pale ..
Barca viungo tunao wa kutosha sana iasee. Tunkara,Fermin,Bernal,Olmo,Rodri,Pedri,De jong. Wote hapo world class. Mchawi nyuma kule, tungempata Laporte ingependeza sana
View attachment 3651612
Mbona Madrid ashagongwa 4 game kadhaa ndani ya misimu miwili ya hivi karibuni, au hufatilii mpira. Madrid ameshagongwa vipigo vizito na Barca kuliko Simba alivyopigwa na Yanga.Kama hufuatilii sana mpira afu ukutane na hii thread unaeza kuhisi Madrid atapigwa 5 kama Simba.
Yeah lakini pia Barca ni timu inayopendwa sana na wachezaji na viongozi wengi wa mpira. Pale kati patawaka saana msimu huu.Umesema vyema
Yule Alvarez, Barça wafanye juu chini wampe kandarasi tumalizane na suala la attacking, halafu focus iwe kwenye kuimarisha backline kiaina
Deco ni mtu muhimu sana moja ya the best sporting directors in my books
Kwanza, kwa kuuza baadhi ya wachezaji ameisaidia club kupunguza wage bill na kupata nafasi kwenye wage cap
Pili, ametuletea wachezaji wakali kwa gharama nafuu
Newcastle walitaka €90M kwa Gordon, Barça wakafunga dili kwa €70M
Dortmund walitaka €30M kwa Adeyemi, Deco akawashusha hadi €22M
Al Hilal walitaka €15M kwa Cancelo, lakini jamaa anawasili bure (free transfer) bila ganji yoyote
Man City walitaka €80M kwa Rodri, Deco akasema hapana kashuka nao mpaka €65M
The man is a serious bargain hunter🔥
Rodri kashakuja ni confirmed.Iniesta alikuwa mtu sana saaana, hadi sasa bado tunatafuta mbadala wake pale. Pedri namuona akienda kucover nafasi ya Xavi. Olmo yamkini naye akafanikiwa kucover kwa Iniesta. Rodri na Sergio, naenda na Rodri, Rodri akija Barca ni unyama sana.
Hapana hatufukuzi kocha hata tusipobeba, Flick ni kocha mzuri sana.Msipo chukua UEFA mfukuzeni kocha. Mnakikosi kipana na kizuri.
Hili sasa ni balaa Mkuu.Rodri kashakuja ni confirmed.
Itakuwa hatari sana.Hili sasa ni balaa Mkuu.
Simeone atupe tu huyo dogo, Argentina wanaionaga Barca ni kama timu ya ndoto zao. Sioni ugumu sana wa deal kukamilika.Itakuwa hatari sana.
Ngoja tuone dili la Alvarez litakuwaje.
Kabisa.Simeone atupe tu huyo dogo, Argentina wanaionaga Barca ni kama timu ya ndoto zao. Sioni ugumu sana wa deal kukamilika.
Simuoni Jose Mourinho akiwa na maisha marefu pale Madrid.
Mimi nataka nimuone atskuja na mbinu gani ya tofauti.Simuoni Jose Mourinho akiwa na maisha marefu pale Madrid.
Na anapenda watu wenye mpira wa vurugu, sioni pale Madrid kama kuna watu watukutu kama enzi za akina Khedira, Alonso, Pepe, Ramos nkMimi nataka nimuone atskuja na mbinu gani ya tofauti.
Mana mbinu za Mourinho zinajulikana hasa anapocheza na timu inayoposesi sana mpira.
Ngoja tumuone.