Naisubiria kwa hamu El Classico ijayo tuwakande Real Madrid. Hilo pira litakalopigwa na Barça sipati picha. Rodri ndani!

Future bright kwenye mashindano gani?

Copa De rey ama?

Tumechukua UCL 4 mbele ya Bousquet, Xavi na Iniesta.

And now you want us to be scared of Pedri (bench warmer ) Rodri (injury prone) and Fermin?

Tutasomana huko mbeleni.
 
Unaongea tu kishabiki lakini moyoni unahuzunika na kuogopa.

We fikiria katika mechi sita za mwisho umepata ushindi mechi moja tu kwanini usiogope.

Mimi bakusubiri na mourinho wenu tuwaone.
 
Unaongea tu kishabiki lakini moyoni unahuzunika na kuogopa.

We fikiria katika mechi sita za mwisho umepata ushindi mechi moja tu kwanini usiogope.

Mimi bakusubiri na mourinho wenu tuwaone.
Msikilize huyu Tapeli, kaja na tribute ile ile aliyofanya Messi.

Sema huu usajili utawafaa sana kwenye dhidi ya kina Elche
 
Barcelona ina wachezaji wazuri sana msimu huu hasa usajili huu mpya, inaweza kuchukua makomne msimu huu ila Rodri hataperfom ma kuvuma kama alivyokuwa Man City
 
Yaan hawa Barcelona mwisho wao kuchukua vikombe vya spain tuu UEFA wana vi 5 tu wanazidiwa na liver wakati Madrid wanazo 15 mara yao ya mwisho kuchukua ni 2015.
 
Future bright kwenye mashindano gani?

Copa De rey ama?

Tumechukua UCL 4 mbele ya Bousquet, Xavi na Iniesta.

And now you want us to be scared of Pedri (bench warmer ) Rodri (injury prone) and Fermin?

Tutasomana huko mbeleni.
Perez ana akili kuliko mashabiki wa Madrid waliopo bongo, ambao hawajui chochote kuhusu Madrid ndio maana alimtaka Rodr. Ila baada ya kusign Barca ndo munagundua ni injury prone. SAWA
 
Perez ana akili kuliko mashabiki wa Madrid waliopo bongo, ambao hawajui chochote kuhusu Madrid ndio maana alimtaka Rodr. Ila baada ya kusign Barca ndo munagundua ni injury prone. SAWA
Sisemi kama Rodri ni mchezaji mbovu, sisemi kama Tsouameni ni bora kuliko Rodri.

Sisemi kama hatuna uhitaji wa DM mwenye ubora kama Rodri pale RMA.

Nachojaribu kusema ni kuwa Rodri kwa miaka amekuwa akiitaka Madrid na kuitaja kama timu ya ndoto yake. Kwanini katika hiko kipindi Perez hakuwahi kuwa na interest ilihali mchezaji alikuwa willing na hakukuwa na upinzani wa kumgombea?

Katika kipindi hicho hatukuwahi kujua kama Rodri anaweza kuipa Barcelona first priority.

Performance yake kwenye WC ndio iliyo draw attention ya Perez kutaka kumsajili.

Baada ya Guardiola kumshawishi Rodri aichague Barcelona ndio hapo ambapo Perez aliamua kurudi nyuma.

Hoja ni kwamba, ni kweli Barcelona ilikuwa na shida ya kiungo kwenye kikosi chake mpaka kumhitaji Rodri?

Baada ya hapo majibu tutakuja kuyapata kwenye El Classico na UCL.
 
El Classico na UCL havitupi majibu yoyote hapo. Yani wewe ikitajwa Barcelona tu unakimbilia UCL 😂 aya bwana. Mulipomleta Mbape kelele zilikuwa nyingi mara Barca sasa tutawaua, na kipondi kile Barca wachezaj wanaondoka tu. What happened?

Suala la UCL hata Madrid pia alishakaa muda mrefu bila kuchukua hilo taji. Hata Barca wakati wake ukifika atachukua tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…