Naisubiria kwa hamu El Classico ijayo tuwakande Real Madrid. Hilo pira litakalopigwa na Barça sipati picha. Rodri ndani!

Unakumbuka mara yenu ya mwisho kuchukua UCL ilikuwa lini?
2015.

Mpaka sasa miaka 11 tu.

Ila sijaifikia rekodi yako ya kukaa mda mrefu bila UCL.

Baada ya kuchukua 1966 ukaja kuchukua tena 1998.

Sasa nakupa homework ukokotoe ulete mwenyewe miaka mingapi mlitoka dry bila UCL.

Chukua 1998 toa 1966 halafu tuwekee jibu.

Ukihitaji calculator njoo uchukue.


Philotheo
 
7 years and still counting

Msimu huu ambao Rodri atakuwa anavaa jezi namba 16

Ndio msimu huo huo ambao Real Madrid itachukua UCL ya 16.

Both teams to win
 
Nacho has achieved a lot than your whole team carrier.

 
7 years and still counting View attachment 3652560

Msimu huu ambao Rodri atakuwa anavaa jezi namba 16

Ndio msimu huo huo ambao Real Madrid itachukua UCL ya 16.

Both teams to win
Inaonekana Barcelona inakuvuruga sana kichwa. Kama unajivunia una mafanikio makubwa zaidi ya FC Barcelona mbona unalialia? Au ndo ile "umewapa vikubwa lakini na hiki kidogo changu kinawatoa roho!
 
Na hapo barca alikaa miaka 38 kutoka 54 mpaka 92
 

Mourinho aliwafunga na kuwasumbua Barcelona ya kina xavi na mesi pamoja na iniesta hawa Barcelona hawa si utopolo kwa Madrid
 
Mourinho aliwafunga na kuwasumbua Barcelona ya kina xavi na mesi pamoja na iniesta hawa Barcelona hawa si utopolo kwa Madrid
Mbona mechi nyingi za H2H Mourinho ndio alipoteza
 
Mbona mechi nyingi za H2H Mourinho ndio alipoteza
Na Mourinho hakuwa kubeba UEFA mbele ya Barca akiwa na Madrid. Hata kombe la ligi labda alibeba moja.

Mounrinho alifanikiwa kuwa na michezo michafu dhidi ya Barca, alikuwa na watu kama akina Alonso, Pepe, Ramos, Marcelo, Arbeloa na Khedira. Kwa sasa pale Madrid hakuna watu wa kazi chafu, simuoni Mourinho akitoboa kirahisi pale Madrid.
 
Na Mourinho hakuwa kubeba UEFA mbele ya Barca
Yeah.

Tulikutana nao mara 2 tukawadunda mechi moja moja tukatoa sare.
Hata kombe la ligi labda alibeba moja.
Exactly.

Ni msimu wa 2011/2012 ndo walitwaa ubingwa kama sikosei ni ule waliovunja rekodi ya kufikisha point 100.
Mounrinho alifanikiwa kuwa na michezo michafu dhidi ya Barca, alikuwa na watu kama akina Alonso, Pepe, Ramos, Marcelo, Arbeloa na Khedira
Mambo yamebadilika sana sasa hivi mambo ya VAR sio mchezo ukileta usela mavi wako kama wakina Pepe na Ramos unakula nyekundu mapema sana.

Kwa kifupi akija aje na strategy za kucheza soka la kueleweka aachane na mambo ya kupaki basi na kucheza undava ataaibika.
 
Mpaka sasa Barca imefunga:

●La Liga: mabao 17 katika mechi 4

●Champions League: bao 2 hadi sasa dhidi ya Feyenoord (mechi bado inaendelea)

Mabao 19 katika mechi 5 🔥🔥🔥
 
Mpaka sasa Barca imefunga:

●La Liga: mabao 17 katika mechi 4

●Champions League: bao 2 hadi sasa dhidi ya Feyenoord (mechi bado inaendelea)

Mabao 19 katika mechi 5🔥🔥🔥
Rekebisha Raphina kashatia chuma ya tatu huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…