Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
- Thread starter
-
- #81
Nakuelewa mkuu, ila RMA wajiangalie pale kikosi bado hakina chemistry. Sijui kwa nini walimrudisha Mourinho?Poa kabisa mkuu shida nini kufungwa tu umeamka ndio mpira wa Ulaya una matokeo yote..
Mou kosa lake anaamini sana katika kulinda Timu inakua haichezi tena nilishangaa anamuanzisha Trent kiungo mechi iliyopita eti awe kiungo anajaza mabeki kama anajenga ukuta wa Berlin hii 2026 ni mpira wa kizamani sana..Nakuelewa mkuu, ila RMA wajiangalie pale kikosi bado hakina chemistry. Sijui kwa nini walimrudisha Mourinho?
Wachache watakuelewa, tuliposema usajili wa RMA ulikuwa panic signing wengi hawakutuelewa. Sasa muda unaanza kutupa majibuValverde na huyo Mfaransa ni waongo sana mpira wa sasa hivi unataka kiungo anaeweza kumiliki mpira kama pesa sio kidogo tu kapoteza aisee Madrid ya leo hawana uhakika wa kupiga pasi 15 mbele ya ATM si uongo huo...
Timu inategemea mbio za Mbape ba Vin na kupiga pasi za kupenyeza hao ATM wenyewe wanachungulia mpira balaa kama wanatoa dawa kwa mgonjwa..
Rodri ulikua mpango wa Madrid sema bifu lao la kugombea ballon na Vin ilipelekea kubadili mtizamo na kwenda Barcelona ambao walikua hawana mpango nae kabisa na Barc waliamua kumnunua ili kupunguza nguvu ya mpinzani..Wachache watakuelewa, tuliposema usajili wa RMA ulikuwa panic signing wengi hawakutuelewa. Sasa muda unaanza kutupa majibu
Barça wamesajili wachezaji wachache lakini wenye matokeo makubwa uwanjani
Mifajo michache tu, wamemleta Rodri angalia kiungo kilivyotulia akiwepo pale kati
Wameongeza Adeyemi angalia pale mbele dogo anavyokimbiza. Na Gordon mzee wa assists
Sio jana tu.Nakuelewa kaka kwa mpira waliocheza jana RMA na ATM tutawapiga sana