Naitabiria Bayern Munich kuwa mabingwa UCL 2019/20

MAGO

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2011
Posts
2,278
Reaction score
3,023
Lyon kafanya kile ambacho hakikutarajiwa na wengi kwa kutinga nusu fainali baada ya kuwadondosha matajiri wa Manchester kwa goli 3 -1.

Sasa watakutana na wagumu wa ujerumani Bayern katika nusu fainali. Bayern ni team ngumu na wazoefu wa michuano hii hivyo nawaona wakiishinda mechi hii na moja kwa moja kutinga fainali.

PSG na Leipzig hakuna mwenye ubavu wa kuwadondosha bavarians

Fainali Bayern - PSG
Bingwa Bayern
 
Mkuu weka akiba ya maneno.
Olympic Lyonais wameangusha miti mikubwa sana (Kibibi cha Turin[Juventus] na The Blue Moon[MCFC]).
Hawa wajumbe toka France wanajua kukaba na kufunga kwa counter attack huku wakiwa na hari ya juu.

RB Leipzig ni timu inayocheza mpira kama wa Liverpool FC hivyo PSG wanaweza kupata shida hasa kujilinda dhidi yao. PSG wanaweza kujikuta wanatumia muda mwingi kujilinda badala ya kushambulia.

Kwenye computer na kwenye makaratasi Bayern Munchen au PSG lazima watachukua ubingwa mapema tu.
 
Anajikuta mtabiri anadhani mambo ni rahisi siku zote alikuwa mpk aje kutabiri saivi
 
kiukweli mie sikutegemea kuwa ATM anafungwa bwana lakini mpira aliopigiwa mhhh ni hatari sana aisee..Bayern wasijiamini hivo aisee
 
Thomas Muller -German Mashine..

Workrate,
Intelligence,
Sharpness,
Focused:
Score Goals...

Thomas Muller A Great Role Model...

"Just look at Thomas & Follow in his Footsteps,and You're Fine"..
 
Naona unajisahaulisha kwamba Bayern hajamfunga Leizpig katika match zote walizojutana msimu huu.

Umeshawaza hao RB Leizpig wakiingia fainali ni nini kitatokea?
 
Aiseee upo sahihi sana.
 
Anajikuta mtabiri anadhani mambo ni rahisi siku zote alikuwa mpk aje kutabiri saivi

Wazee wa kubeti kutabiri ni msamiati wa kawaida tu na wenye matumizi ya kila siku, mbona unaonekana kuteseka sana.
 
anajikuta mtabiri bwana sheheeeeeee yahya
Mshindi alwways ni mmoja anaweza kuwa yoyote kati ya hao wanne kwa vigezo na namna nilivozitizama team zote nne zilizofika hatua hii karat yangu naiweka Bayern ila si lazima mtizamo wangu ufanane na yoyote yule. Kumbuka tu magiants kama JUVE, BAYERN, LIVERPOOL, BARCELONA, R. MADRID wameshatolewa na hizi team
 
mkuu huku mbape huku neymar wanashindaje. pale kati icardi
 
Wazee wa kubeti kutabiri ni msamiati wa kawaida tu na wenye matumizi ya kila siku, mbona unaonekana kuteseka sana.
Tuko pale pale
Ulikuwa wp kutoa utabiri tangu mwanzo
 
Tayari kama nilivyotabiri mwanzo ni PSG- Bayern fainali UCL

Haoa Bayern atashinda Ila kwa tabu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…