MAGO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,278
- 3,023
Lyon kafanya kile ambacho hakikutarajiwa na wengi kwa kutinga nusu fainali baada ya kuwadondosha matajiri wa Manchester kwa goli 3 -1.
Sasa watakutana na wagumu wa ujerumani Bayern katika nusu fainali. Bayern ni team ngumu na wazoefu wa michuano hii hivyo nawaona wakiishinda mechi hii na moja kwa moja kutinga fainali.
PSG na Leipzig hakuna mwenye ubavu wa kuwadondosha bavarians
Fainali Bayern - PSG
Bingwa Bayern