Naitafuta muvi hii hata sijui inaitwaje

Inamzungumzia Neema na kaka yake mama yao aliachana na mumewe sababu changudoa ni ya zamani mno
 
Yaani nifunge safari toka huku nilipo nitumie takribani 150,000 kwenda tu TBC kwa ajili ya movie.Are you serious?
Mkuu kwa maoni yangu naona umekosea kujibu hili jibu.. Nimefuatilia maoni ya wadau yote.. Hata mimi nilitaman sana kuipata hii movie ila nisingeiona yote ingeboa.. Ningeweka tu vipande vile vzr mfano kwenye mandhari ya morogoro pale...



Kwanini Nasema umekosea kujibu hivo

Siku hizi simu zipo mitandao ipo sasa badala ya wewe kuja tbc dar au Dom basi agiza mtu aende akaulize namna ya kuipata maktaba then unatumiwa tu.. Unaweza ukashangaa umetumia gharama ndogo tu labda 20000 maana lazima umpooze aliyeenda kuuliza.. So huna marafiki au ndugu dar ambaye unaweza kumuagiza?????
 
Nashukuru sana kwa ushauri jamaa yangu inanikumbusha mbali filamu ile
 
sijawahi kuiona... ila nme penda hiyo plot..
mwenye hii movie please
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…